angalia asije kuwa kaolewa na jini sasa anakuzuia wewe usiolewe!
sawa mkuuu... hiyo nusu lita naisubiria ijae kwa kweli
msikate tamaa kuhusu maombezi. kuna matatizo mengine kama hayo yatatoka kwa kufunga na kuomba kwa imani, wala msimuhukumu aminini sio yeye ni pepo linamuendesha, hakuna binadamu anayependa aishi katika mfumo huo. Mungu awasaidie, jaribu kupeleka picha