Naombeni ushauri kuhusu tabia ya dada yangu

Naombeni ushauri kuhusu tabia ya dada yangu

....umwambie usimwambie ipo siku ataharibu tu kama hujui namna ya kudeal naye. nashauri umuelimishe mume mtarajiwa ukichaa wa dadio na jiandae kupambana naye huku ukikaa naye mbali maana hujui kesho atakuja vipi period...!!

kiukweli inanibidi kufanya hivyo maana akijuaga habari zangu anakuwa kama kapandwa na mashetani anawehuka sana anaongea ovyo kwa sauti kubwa yaani pia tunahisi labda anatatizo lingine maana akimaliza kuniharibia ananuna hata miezi sita haniongeleshi, kiukweli niko kwenye wakati mgumu
 
sasa wewe ndio unataka kuharibu kabisa
eeh! ukishapata namba yake iweje?

ata haribu kabisa mtu mwenyewe ana mdomo mchafu akijua nimetoa na namba yake si itakuwa balaa
 
Nadhani msimwambie, fanyeni mambo kimya kimya kama mlivykubaliana na wazazi laki pia mwambie mume mtarajiwa tabia za dadako, ili hata siku wakionana mkaka awe anajua nakutana na mtu wa aina gani

All da best


asante sana
 
hao ndio wale ndugu lawama waliombwa na mwinjuma muumin enzi hizo
 
duh dunia ina mambo ..............loh dada mtu kaaa kimya kama boy wako ni mwelewa just mwadisie tu tabia ya dada yako lakini kidogo san usiingie deep
Unataka kurusha njiwa wake. Kwa mwanaume akijua kuwa ulikuwa na mpaka mjapani, jua atakuacha kesho yake. Mshauri anyamaze ila akawaonye wazazi wake wasimwamini dada akisema kaishaiona na kuigusa papuchi yake. Hiyo ndiyo dawa ila akiwataja wote waliomgusa ndo ataisikia Radio One. Bado nusu lita
 
Ni pm namba yake

ni mtu mkorofi atakujibu vibaya itakuwa tatizo, pia nadhani akijua hata kamanimeshirikisha watu kunipa mawazo kuhusu tabia yake itakuwa tabu sana kwangu, naomba nielewe
 
anahitaji msaada huyo dada,hayuko vizuri ongea na wazazi mchukue hatua za makusudi kumsaidia!kila la kheri.
 
Nina wasiwasi na mstakabali wa ndoa yako,anaweza kuja kutembea na mumeo,msomeshe mchumba wako huyo kuhusu hilo tatizo la ndg yako. Muombe Mungu sana atangulie ndoa yako.pole sana.
 
Nina wasiwasi na mstakabali wa ndoa yako,anaweza kuja kutembea na mumeo,msomeshe mchumba wako huyo kuhusu hilo tatizo la ndg yako. Muombe Mungu sana atangulie ndoa yako.pole sana.

halafu huwa hatembei peke yake ana marafiki zake wawili jamani ni kama yeye ndiyo najitahidi sana kumuomba Mungu kwa kweli,
 
anahitaji msaada huyo dada,hayuko vizuri ongea na wazazi mchukue hatua za makusudi kumsaidia!kila la kheri.

ni kweli jamani mimi nilishasema hayuko vizuri. asante sana kwa ushauri
 
Endelea kumficha dada yako kama itawezekana na umjulishe mume mtarajiwa tabia za dada yako
 
pole sana..ila kama ni member wa JF akiusoma huu uzi kazi utakuwa nayo....
 
huna haja ya kumwambia maana una reference ya nyuma. Pia kumwambia mme wako mtarajiwa anaweza kuwa na mtizamo tofauti na wewe akahisi wewe pia kicheche maana wengi wamekimbia. Ila ninachokushauri kuwa makini na dada yako anaweza kuvunja ndoa yako kwa kutaka kutembea na mme wako
 
Back
Top Bottom