Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,972
- 3,513
Hii channel ni uzuzu mtupu kama wewe ni mfuasi basi nauhakika umasikini hutokuwa nao mbali ni pete na kidoleAngalia kipindi cha ukombozi wa familia kila siku saa tatu usiku chnnel ya Arise and Shine, paka wote watakimbia au kufa. Usidharau