Naombeni mwongozo tafadhali

luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,848
1,938
am aged 26, nafikiria kuoa sasa,kwa wengi hona kama bado mapema kwa umri huu,lakini kwa mie nilishajiwekea nadhiri ya kwamba nikishamaliza masomo na kupata tu ajiri kifuatacho i kuoa pasipo kujali nitakuwa nimetimiza umri gani... Sasa nimefika n am abt to do wat ive planned.. Naomba mwongozo kwa mlionitangulia tafadhali,ni procedure gani za kufuata kumuoa mchaga wa kibosho!!
 
Kwanza una ng'ombe wa maziwa na umesomea ubondia?....ukijibu swali hili ntakushauri maake nawajua vizuri wakibosho
 
Safi sana,kila la kheri,ngoja wachaga watakuambia,huyo mpenzi wako hawezi kuambia au ndugu zake jamani?manake kama unafikiria kumuoa mtu lazima mtashirikishana hili na hata ndugu utakuwa unawafahamu baadhi!!! anyway,utaelezwa tu!
 
sina uhakika kama kuhitimu masomo na kupata ajira ndio kigezo cha kuoa kwa staili ya udi na uvumba! Suala la ndoa ni suala la kupendana full stop!

kila la kheri mkuu
 
am aged 26, nafikiria kuoa sasa,kwa wengi hona kama bado mapema kwa umri huu,lakini kwa mie nilishajiwekea nadhiri ya kwamba nikishamaliza masomo na kupata tu ajiri kifuatacho i kuoa pasipo kujali nitakuwa nimetimiza umri gani... Sasa nimefika n am abt to do wat ive planned.. Naomba mwongozo kwa mlionitangulia tafadhali,ni procedure gani za kufuata kumuoa mchaga wa kibosho!!
Ili kupata mwongozo weka kabila lako kwanza kama ulivyofanya la shemeji yetu mtalajiwa....
 
Nashukuru mkuu,bt upendo waweza kuwepo bt kuna vitu vya kutimiza kwanza kabla ya kufikia hapo
 
am aged 26, nafikiria kuoa sasa,kwa wengi hona kama bado mapema kwa umri huu,lakini kwa mie nilishajiwekea nadhiri ya kwamba nikishamaliza masomo na kupata tu ajiri kifuatacho i kuoa pasipo kujali nitakuwa nimetimiza umri gani... Sasa nimefika n am abt to do wat ive planned.. Naomba mwongozo kwa mlionitangulia tafadhali,ni procedure gani za kufuata kumuoa mchaga wa kibosho!!

Kama kweli we muoaji wa ukweli, ungemuuliza huyo msichana wa kibosho......naamini atakuwa ni mchumba tayari......otherwise kama ndio una mpango wa kutongoza katongoze kwanza ukikubaliwa tukupe taratibu za kuchumbia.

Chumbia kwanza ndio uoe!
 
Ili kupata mwongozo weka kabila lako kwanza kama ulivyofanya la shemeji yetu mtalajiwa....

Katika hili sio siri mkuu nimeamua kuweka kando ukabila na kutanguliza mbele upendo,sioni shida yeyote kwa kabila au dini yeyote kwangu, ilihali niliyekutana naye ni kabila hili inahitajika procedure za kwao niweze kuanza safari,..kama kwako mkuu kabila ni muhimu,basi jua wazi mi ni mwenyeji wa Arusha kwa upande mmoja na upande mwingine singida (mama)
 
swala la kuoa ni isue ya matter over mind...if u don mind then it doesnt matter...chukua mtoto,nendeni Angaza then kwa paroko..
 
Kama kweli we muoaji wa ukweli, ungemuuliza huyo msichana wa kibosho......naamini atakuwa ni mchumba tayari......otherwise kama ndio una mpango wa kutongoza katongoze kwanza ukikubaliwa tukupe taratibu za kuchumbia.

Chumbia kwanza ndio uoe!

Nashukuru mkuu nipo committed now 4tht naomba utaratibu,za uchumba then
 
Hivi umeshindwa kumuuliza huyo mchumba wako taratibu zinakuwaje hata kama yeye hajui basi akawaulize hata ndugu zake sasa sidhani kama hizo taratibu utazipata hapa unless kama unataka kushauriwa the otherway round
 
am aged 26, nafikiria kuoa sasa,kwa wengi hona kama bado mapema kwa umri huu,lakini kwa mie nilishajiwekea nadhiri ya kwamba nikishamaliza masomo na kupata tu ajiri kifuatacho i kuoa pasipo kujali nitakuwa nimetimiza umri gani... Sasa nimefika n am abt to do wat ive planned.. Naomba mwongozo kwa mlionitangulia tafadhali,ni procedure gani za kufuata kumuoa mchaga wa kibosho!!

Mh mwanangu please kuwa makini, siku hizi wanawake wengi bongo ni mzigo!
 
mizigo kivp?
ushaanza ..mwone vle

wanaume weng skuizi ndo mapoyoyo marioooooooooo so inabd tuwe makin wadada unaweza ukolewa na leonard kumbe leornada...
 
labda huyo dada hajui mila zao na procedure,hana shangazi wala ndugu anayeelewa hayo mambo.
labda kwa kumsaidia tu WACHAGA mnaojua procedure mumpe tu kijana wa watu akaoe,mipango aliyojipangia imeshatimia.nadhani procedure za wakibosho ni kama za wachaga wengine in general.
 
Kweli mmenikomaza,sikuwaza kwa haraka kufikia uamuzi huo
 
Mbona wachaga wanaolewa sana! kila aoaye ni mchaga tuu, kuna siri gani kwa wachaga? hebu nijuzeni.
 
Back
Top Bottom