Nimeingia Mkoa wa Lindi. Naombeni mwongozo wenu tafadhali

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Nimefika Lindi na jamaa zangu wawili muda huu. Sote ni wageni mkoani hapa. Tutakuwepo kwa siku 21.

Mimi naomba mwongozo nipate lodge nzuri ya kuanzia tsh 30,000- 50,000 isizidi hapo. Iwe nzuri, safi na salama pia.

Lakini kama kuna mambo ya kuzingatia nikiwa huku, maoni na ushauri ntapokea pia ili nijue namna ya kuishi na watu wa huku kwa siku hizo 21.

Maeneo gani yafaa kutembelea, viwanja tulivu, kama kuna vyuo huku nakadhalika nakadhalika.

But pia si vibaya mkinambia namna ya kutembea, kuongea na mambo kama hayo. Naamini mmenielewa.
 
Nikutahadharishe tu kwamba Lindi uchawi upo.

1. Nadhani utamkumbuka mbunge msomi wa kiwango Cha master's alikaushwa sauti akashindwa kuapa.

2. Kuna mdada alikua anagombea viti maalum walimkausha sauti akabaki kusema tu kidumu chama.

3. Tukio jingine mwenyewe unalikumbuka.

4. Tukio jingine likihusishwa na kiongozi wa chama Cha upinzani kipindi hicho akiwa kinda kabisa bungeni. Mchana kweupeeee.
Ila watu wa Lindi hawana wivu wa kimapenzi 💯%

Tena unaweza kuchukua mke wa mtu ukakaa nae hapo gesti kwa siku zote na mumewe mnaongea nae vizuri tu na siku ukiondoka mke anarudi kwa mumewe.
 
kua makin tu na vibinti vya huko, nmewah kukaa mtwara kwa miez 2 hivi, vibinti vinataka ndoa kuliko mapenzi, wako radhi wakuloge uoe, narudia KUA MAKINI
😳😳😳 Miezi miwili ndoa? Hatari sana.
 
Nikutahadharishe tu kwamba Lindi uchawi upo.
1. Nadhani utamkumbuka mbunge msomi wa kiwango Cha master's alikaushwa sauti akashindwa kuapa...
Hii imekaaje? Ni utamaduni wao upo hivi? Hamna wivu?
 
Hii imekaaje? Ni utamaduni wao upo hivi? Hamna wivu?
True mkuu. Kuna jamaa alimchukua mke wa mtu huko na kumuweka kinyumba. Nilitegemea mwenye mke angemtoa meno mkewe au mwizi wake. Cha kushangaza kamfuata mbaya wake kistaarabu kabisa na kumuomba ampe kiasi Cha pesa akaoe mke mwingine.

ENzi zile ununuzi wa korosho ulikua free and fair hata Mambo hayo yalikua free sana. Ikumbukwe Lindi Kuna maambukizi madogo sana ya ukimwi.
 
Efrit the conquer at its majestic huwa anakutoa fahamu haraka sana ili uwe comfused anabana chest na kushausha mapigo ya moyo ukizubaa tu inakula kwako on my exprience viumbe hivi ni dhaifu sana na vijinga sana daa yake ni moja tu usiwe na imani mbili amini mungu ni mmoja tu naye anaweza yote kwenye akili yako usikosee ukaweka mpasuko labda hivi au labda vile huo mpasuko ndiyo viumbe hawa huutumia kuingilia na ndio chanzo cha mama zetu wengi kuwa na haya madudu ""INTERGRITY IN BELIEVE OF ONE CAPABLE THE OMNIPONENTY GOD'' and never be on doubt. SIRI IPO HAPO NDUGU ZANGU JUMAPILI NJEMA NA MUNGU AWE NANYI KATIKA IMANI
 
Nimefika Lindi na jamaa zangu wawili muda huu. Sote ni wageni mkoani hapa. Tutakuwepo kwa siku 21.

Mimi naomba mwongozo nipate lodge nzuri ya kuanzia tsh 30,000- 50,000 isizidi hapo. Iwe nzuri, safi na salama pia.

Lakini kama kuna mambo ya kuzingatia nikiwa huku, maoni na ushauri ntapokea pia ili nijue namna ya kuishi na watu wa huku kwa siku hizo 21.

Maeneo gani yafaa kutembelea, viwanja tulivu, kama kuna vyuo huku nakadhalika nakadhalika.

But pia si vibaya mkinambia namna ya kutembea, kuongea na mambo kama hayo. Naamini mmenielewa.
Nipo Lindi huku hakuna starehe pambana tu na hali kaka angu karibu uswahilini ila hakikisha unatumia kondom na usiende na mwanamke humjui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom