Naombeni mwongozo tafadhali

Mh mwanangu please kuwa makini, siku hizi wanawake wengi bongo ni mzigo!


Wanaume nao siku hizi hupenda kubebwa, wanapenda wenye kazi au wenye nazo, utasikia ohh, unafanyia wapi just ndo mmekutana.
 
sina uhakika kama kuhitimu masomo na kupata ajira ndio kigezo cha kuoa kwa staili ya udi na uvumba! Suala la ndoa ni suala la kupendana full stop!

kila la kheri mkuu

Mara nyingi watu hufikiri muda ukifika ni kuoa/ kuolewa ndo maana hukimbilia kufanya hivyo na matokeo yake yamekuwa ni ndoa kuvunjika. Mimi kuna mtu ananilzamisha anioe eti kisa kachoka kuwa senior bachelor anasema anaingia kwenye prinicipal bachelor, wakati hanijui vilivyo.
 
sina uhakika kama kuhitimu masomo na kupata ajira ndio kigezo cha kuoa kwa staili ya udi na uvumba! Suala la ndoa ni suala la kupendana full stop!

kila la kheri mkuu

mbona una ubish nyepenyepe,kishakwambia ana mchumba mkibosho,it meanz kampenda,so what next?unataka amuoe akiwa na umri gani,au akiwa anafanya nini?aaaa hlo gubu ndugu,kama huna mwongozo kaa kimya,wenye miongozo waitoe,ala
 
mizigo kivp?
ushaanza ..mwone vle

wanaume weng skuizi ndo mapoyoyo marioooooooooo so inabd tuwe makin wadada unaweza ukolewa na leonard kumbe leornada...

hahahahahah,rose!huyo ametoka nje ya mada,msamehe,mwenzie anataka procija ye anatoa ushauri,nadhan hata kama ni mzgo jamaa ataubeba
 
Mbona wachaga wanaolewa sana! kila aoaye ni mchaga tuu, kuna siri gani kwa wachaga? hebu nijuzeni.

hahaha pamoja na kupigwa vita sana JF,bado wakaka wanafika kwa wachaga!..naona ni vile viuno vyetu km pangaboi tunakata kushinda wamakonde hahaaaaaaaaaaa :twitch::twitch::laugh::laugh::laugh::coffee:
 
Nenda kajitambulishe...utapewa taratibu za wakwezo watarajiwa, ila utadaiwa maziwa, mbege, kondoo nk.
 
am aged 26, nafikiria kuoa sasa,kwa wengi hona kama bado mapema kwa umri huu,lakini kwa mie nilishajiwekea nadhiri ya kwamba nikishamaliza masomo na kupata tu ajiri kifuatacho i kuoa pasipo kujali nitakuwa nimetimiza umri gani... Sasa nimefika n am abt to do wat ive planned.. Naomba mwongozo kwa mlionitangulia tafadhali,ni procedure gani za kufuata kumuoa mchaga wa kibosho!!

Muulize mwenyewe, usitusumbue sisi.
 
Remi sio siri mimi toka nimpate mchuchu wakichaga nimeisha toa michango 113 kwa muda wa miezi7. lakini mwanangu inalipa wachaga usipime wachapakazi na hawajibweteki. utaanza kuona mabadiliko mwanzo tu wa ushumba. simaanishi wote binaadam tuna tofautiana wengi wao huwa wachumi. hujali maishayao kuwa mazuri na yamaendeleo. wngu mimi ni mchumi sana na anajua kila sehem zinazo patkana vitu vizuri na vyenye ubora. na bei poaa hawana ubishoo kama wanawake wengi mjini hapa huwa hawezi kuchukua hata kiroba kwakuona aibu watamuona wakuja. lkini wetu sisi ukimuona anashugu lizake utasema huyo ni Beki3 lakini akimaliza akipiga suti yake utasema hivyo ndo yule mdada alipita kiloba kichwani?

Mbona wachaga wanaolewa sana! kila aoaye ni mchaga tuu, kuna siri gani kwa wachaga? hebu nijuzeni.
 
Nenda kajitambulishe...utapewa taratibu za wakwezo watarajiwa, ila utadaiwa maziwa, mbege, kondoo nk.

daaah.. mkuu nimeenda now nimerudi kutoa shukrani zangu kwenu,...mkuu imekuwa kama ulivyosema,ila ongezea na ng'ombe jike ambaye hajazaa kwa msio na ujuzi now karibuni am now a lecturer in this course..ur all welcome
 
unajua kwa m'me hamna tatizo kua age, tatizo lady , just makubaliano yenu ,wewe na uyo girl as longer as atakua na subra juu yako,kwani mapenzi ya kweli yanaenda na ahadi na ustahamilivu, na ukiongeza na kuheshimiana age is just a number nothing on it, kwahiyo ,kwa mfano huja jitayarisha ki life ndio unasoma, hapo lazima muongee na umwabie ukweli kwani hapo ndio munajenga future yenu ,no need to rush,, ithink so,
 
Back
Top Bottom