KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,374
Pole sana member kwa yaliyokukuta juu ya hao wezi.Vila shaka hao wamekupata. Huko kupatana na ukakubaliana nao kisha wakakupeleka show room ulipokosea wewe hukutaka kuingia ndani ya Ofisi ya wauza magari na malipo ulikwenda kufanyia benki.Pole sana hao jamaa wanapatikana Kinondoni Stereo mtaa wa kisutu pia wanapatikana Nyuma ya Jengo la Mwanamboka Plaza kuna Bar pale. na dili zao ndiyo hizo.Nenda kafungue kesi kwanza upate. Msaada wa polisi baada ya uchunguzi wako kwa kushirikiana na Polish.Wanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.
Haya ndo maneno sasaPole sana member kwa yaliyokukuta juu ya hao wezi.Vila shaka hao wamekupata. Huko kupatana na ukakubaliana nao kisha wakakupeleka show room ulipokosea wewe hukutaka kuingia ndani ya Ofisi ya wauza magari na malipo ulikwenda kufanyia benki.Pole sana hao jamaa wanapatikana Kinondoni Stereo mtaa wa kisutu pia wanapatikana Nyuma ya Jengo la Mwanamboka Plaza kuna Bar pale. na dili zao ndiyo hizo.Nenda kafungue kesi kwanza upate. Msaada wa polisi baada ya uchunguzi wako kwa kushirikiana na Polish.
😎😎[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23]
Sidhani sababu kuna nyingine alikuwa anaongea hadi kikabila
Nitaandika yote hayo kwa kirefu ni story ndefu kidogo
Watu mnajua Sehemu aiseeeHapo sio ile bar ya mawasiliano kama unaenda law school, pembeni kuna hotel?
Akitaja angalau mji au jiji alikotapeliwa anaweza kupata msaada wa maana.
Huwa najiuliza wanapigwaje kwenye yard,mana nimeshanunua gari mara 2 hapo morroco kwa wapakistan ...mimi utaratibu unanipa acc ya jina ya yard yako nabank pesa nakuletea bank slip unanipa gari yangu.biashara ya cash kwangu hakunaMsimcheke hapa tu najaribu kumpa tag
Kwa kifupi alipelekwa kwenye yard iliyoko Morocco.... Huko ndiko alipopigwa
Ila Mpaka dakika hii jamaa a napambana na polisi na mwenye yard
Jamaa ashapewa a, b, c za kufata ili awapate Hao matapeli
Ningekuwa dar ningeinunua kesi hiyo Yaani mpaka kesho saa nane kingeshaeleweka
Ova
Pale nyuma ya mwanamboka kuna kijiwe cha madalali hawaeleweki nlienda hapo kukagua rav4,dalali anaongea mpka unastuka hapa kuna biashura sio biasharaPole sana member kwa yaliyokukuta juu ya hao wezi.Vila shaka hao wamekupata. Huko kupatana na ukakubaliana nao kisha wakakupeleka show room ulipokosea wewe hukutaka kuingia ndani ya Ofisi ya wauza magari na malipo ulikwenda kufanyia benki.Pole sana hao jamaa wanapatikana Kinondoni Stereo mtaa wa kisutu pia wanapatikana Nyuma ya Jengo la Mwanamboka Plaza kuna Bar pale. na dili zao ndiyo hizo.Nenda kafungue kesi kwanza upate. Msaada wa polisi baada ya uchunguzi wako kwa kushirikiana na Polish.
Inapaswa gari iwe kwenye bank compound wakati unafanya transfer, ndani ya gari awepo mpambe wako.Huwa najiuliza wanapigwaje kwenye yard,mana nimeshanunua gari mara 2 hapo morroco kwa wapakistan ...mimi utaratibu unanipa acc ya jina ya yard yako nabank pesa nakuletea bank slip unanipa gari yangu.biashara ya cash kwangu hakuna
Gar hewa ni linalotumia Gesi mkuuGari hewa ndio model ipi hiyo mkuu.... Au mimi nitakuwa mgeni hapa dar !?
Pale panaitwa full stop kun bar pale madalali wengi wapigaji..... Kuna mshikaji mmja alitaka vanguard jamaa walienda kumpanga yard wakampanga jamaa kama mmilikiPale nyuma ya mwanamboka kuna kijiwe cha madalali hawaeleweki nlienda hapo kukagua rav4,dalali anaongea mpka unastuka hapa kuna biashura sio biashara
Pale kna team ya kna s.we hatariPale nyuma ya mwanamboka kuna kijiwe cha madalali hawaeleweki nlienda hapo kukagua rav4,dalali anaongea mpka unastuka hapa kuna biashura sio biashara