Naombeni msaada nimechanganyikiwa

Mke ni malkia katika uislam.
 
Wewe unamshauri aolewe na mtu mwingine yakimshinda ya huko utamsaidia? Au kwa sababu atakuwa wa dini yake. Sioni shida kama wanapendana kikubwa kuridhiana.anaweza akampata wa dini yake na akajutia kumuacha huyo muislam.vile vile.
 
Reactions: THT
Mkuu usipotoshe! Tofautisha mume/mke na mchumba!

Yani, inamaanisha, kwa mfano mume na mke ni waislam, mume akamfuata Yesu-akaokoka ila mke hajataka kuokoka, mume-aliyeokoka asimwache mkewe aliyeendelea kuwa muislamu.

Mke/mme ni wanandoa tayari so kuna muunganiko, uchumba ni hatua ya kuelekea kwenye ndoa!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Reactions: THT
Kuna vitu vingine huwa vinashangaza sana, how do start dating the opposite? Mapenzi yanafanya tunakuwa vipofu aise.
Dating the opposite? Uhh! Msifanye maisha yawe magumu kiasi hiki aisee.kikubwa kuridhiana. ebo
 
Reactions: THT
Muoe tu ataokoka baadae

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
~~~>>>Namuonea huruma kwa kijana wa kiume kuzama ktk penzi la kaf'r.............
 
Axante mkuu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
jitahid akupe mimba mambo yatakuwa poa

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Nadhani ukianza kupata mimba wew itakuwa poa

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Ubarikiwe sana

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kaa chini utafakar hili swali, je Upo tayari kuwa muislam? Hapo jamaa ako katulia tu bt akikuweka ndani lazma uslim na ustegemee kama jamaa atakuja kweny ulokole.
 
Reactions: THT
huwezi kuchanganya mafuta na maji na kosa unalotaka kulifanya kamwe hautapata nafasi ya kurirekebisha, achana na huo mpango mara moja
 
Reactions: THT
THT achana na mchungaji liamsheni dude kama wazazi hawana shida, tatizo ni nini

labda nikuulize mwenzio yupo tayari kubadili au wewe upo tayari?
 
Reactions: THT
mkimbie huyo haraka sn
maanA uki-force hapo ukija kupata matatizo watakwambia tulikushaur lkn hukuskia
but the more important is
Muombe sn mungu akwambie mapenzi yake juu ya hilo usije ukajuta

Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
 
Reactions: THT
Jiulize unaolewa na dini au jamaa, mapenzi hayana ukabila, dini au rangi, kipenda roho hula nyama mbichi, sidhani kama ndoa yako itakuwa imara sababu ya dini, hapo ni mapenzi kwanza, dini baadaye..
 
Reactions: THT
Kwani kabla ya kuja kwa dini za kigeni,babu Na bibi zetu walikuwa wanaoana au hawaoani

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Jiulize unaolewa na dini au jamaa, mapenzi hayana ukabila, dini au rangi, kipendo roho hula nyama mbichi, sidhani kama ndoa yako itakuwa imara sababu ya dini, hapo ni mapenzi kwanza, dini baadaye..
its true but dini sio tatizo ila tatizo n kuishi ktkt hio misingi ya din
mfano mzur wakristo ndoa n mke mmoja na mme mmoja sasa jamaa n muislam misingi yao n wake wa nne unaona dada yetu ataweza kwel ht km kipenda roho hula nyama mbich

Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
 
Reactions: THT
huwezi kuchanganya mafuta na maji na kosa unalotaka kulifanya kamwe hautapata nafasi ya kurirekebisha, achana na huo mpango mara moja
Asante kwa ushauri mkuu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kaa chini utafakar hili swali, je Upo tayari kuwa muislam? Hapo jamaa ako katulia tu bt akikuweka ndani lazma uslim na ustegemee kama jamaa atakuja kweny ulokole.
Mkuu asante kwa ushauri

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu asante sana kwa ushauri

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…