Yaani wewe uokoke kweli halafu uendelee na ujinga uliokuwa nao? Sidhani,,,wokovu ni personal property, na ukishaokoka makandokando yoote uliyokuwa nayo unayaacha maana unakuwa kiumbe kimya, yakale yoote unayaacha. Huwezi kuolewa na mtu mwenye imani tofauti ukabaki salama. Kama umeokoka kweli Mungu atakupa mume alieokoka, na kama ulikuwa unaendelea na mahusiano ya kingono na mchumba wako huyo, tubu na kuachana nae kabisaaa,,,Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, Nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa. Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu. Wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida. Sasa nifanyeje Niko njia panda. Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu MTU nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani