Waulize wachungaji wako hili swali 'Kila dini au dhehebu lina Mungu wake?
Mkuu;
Naomba niwajibie hao wachungaji swali hilo. Ndiyo kila dini au dhehebu lina Mungu wake. Hata siku moja, Allah hawezi kuwa Yehova Yahwe. Jua hivyo na uamini hivyo
Waulize wachungaji wako hili swali 'Kila dini au dhehebu lina Mungu wake?
Kwahiyo kuna Mungu zaidi ya mmoja?Mkuu;
Naomba niwajibie hao wachungaji swali hilo. Ndiyo kila dini au dhehebu lina Mungu wake. Hata siku moja, Allah hawezi kuwa Yehova Yahwe. Jua hivyo na uamini hivyo
Kwanza kabisa dada weye huna dini yeyote ile. Huko kwenye ulokole uliwasindikiza rafiki zako tu. Msichana aliye okoka kamwe hawezi hata kumwangalia huyo muisilamu wako. Kwa sababu hujui hata maana ya ulokole ndo maana unasema ati wazazi hawana shida. Wewe unaolewa pamoja na wazazi wako au unaolewa kwa hao wazazi wake?? Umri wako ni chini ya miaka 8?? Usiwalete wazazi hapo.
Ninachokijua ni kuwa, kama kweli unajijua, utawasikiliza viongozi wako wa kiroho. Namhurumia huyo mchungaji kwani si ajabu kila siku ukikutana na huyo mchumba vyupi lazima vishushwe. Mwisho utaanza kutema mate halafu utauacha huo ulokole kwani kwako hauna faida.
Usiokoke ili uolewe wala usisilimu ili uolewe
Naona unatokwa povu badala ya ushauri, kama vipi pita kimya sihitaji mapovu ila ushauriKwanza kabisa dada weye huna dini yeyote ile. Huko kwenye ulokole uliwasindikiza rafiki zako tu. Msichana aliye okoka kamwe hawezi hata kumwangalia huyo muisilamu wako. Kwa sababu hujui hata maana ya ulokole ndo maana unasema ati wazazi hawana shida. Wewe unaolewa pamoja na wazazi wako au unaolewa kwa hao wazazi wake?? Umri wako ni chini ya miaka 8?? Usiwalete wazazi hapo.
Ninachokijua ni kuwa, kama kweli unajijua, utawasikiliza viongozi wako wa kiroho. Namhurumia huyo mchungaji kwani si ajabu kila siku ukikutana na huyo mchumba vyupi lazima vishushwe. Mwisho utaanza kutema mate halafu utauacha huo ulokole kwani kwako hauna faida.
Usiokoke ili uolewe wala usisilimu ili uolewe
braza leo umekuja kivingineUmechanganyikiwa siyo kwa sababu ya yaliyotokea kwenye huo uchumba, umechanganyika kwa sababu hutaki kuijua kweli!!...... ukiijua kweli nayo kweli itakuweka huru!!...... Kwa kifupi tu ni kwamba hayo yaliyokukuta ni gharama(cost) ya kuokoka!!..........wewe ulifikiri kuokoka kwako hutalipa gharama(cost) yeyote??.... labda nikukumbushe tu kuwa kila jambo zuri lina cost yake!!...... Hayo yaliyokukuta ndo cost yako ya kuokoka unayopasa kuilipa kwa hiyo tulia and bear it!!
Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
kia dhehebu hudai kwamba kuna mungu mmoja.Kwahiyo kuna Mungu zaidi ya mmoja?
Asante mkuuDada yangu alidondoka hapo ! Mambo yakuendekeza Moyo kuliko facts. Maisha ya kiislam ili uyaweze lazima uukubali uislam! Bila kuukubali hutaweza kuendana nao.
Ni hivi dada alikacha familia akaslim sio kwamba aliukubali uislam ila alifanya ili asitengane na ampendaye! Akaolewa, Maisha yanaanza mama wa kiislam! Mziki hauchezeki, masharti hayabebeki, Shemeji mstaarabu ila ndio anasisitiza mkewe lazima aishi kiislam, Dada anajitahidi lakini kwa sababu sivyo alivyokuzwa ni mateso!
Hapo hakuongezewa mke -angezimia kabisa. Alivumilia lakini alishindwa.
Kama unadhani unaweza kuvaa viatu vya mke kwa maadili ya kiislam sawa. Kama huwezi wakati ni sasa ! Chukua hatua
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Asante mkuuUshauri Wangu Ni Hivi Kwa Sasa Hivi Hutaona Uzito Wa Kuwa Nae But Ukishaolewa Nae Hutapata Kile Ulichokitarajia Na Ukumbuke wewe Ndio Unaolewa Ukumbuke Hivi Imani Yake Inamruhusu Kuongeza Wanawake Kama wewe Wa 3 Mpaka 4 Fanya Maamuzi Sahihi
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Ungekuwa umeokoka usingekuja kuuliza upuuzi huu! Roho mtakatifu hayupo ndani mwako mpk utafute hekima ya watu uache hekima ya Mungu???Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, Nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa. Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu. Wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida. Sasa nifanyeje Niko njia panda. Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu MTU nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Leo amekuja kiuchumi sana opportunity costbraza leo umekuja kivingine
hahaha
uko vzuri.lakin
me mwenyewe nimeshangaa, kama wanaolewa wao hapo sawa, kikubwa wazazu wameridhia,walokole nao ukiwafatiliza sana.......Sasa kama wazazi hawana shida.. Huyo mchungaji inamuuma nin?
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app