Naombeni msaada nimechanganyikiwa

Naombeni msaada nimechanganyikiwa

Hayupo aliyetayar kubadili

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Si unaona kila mtu anavutia kwake wakati mpo wote tayari unawatoto hapo lazima utaambiwa chagua kubadili dini au aongeze mwingine afunge naye ndoa msala utaanzia hapo bora kabla ya uchumba kuliko mkiwa pamoja na watoto lakini jibu la mwisho unalo mwenyewe wengine washangiliaji tu mdada

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: THT
Ungejua hizo hizo ndoa zisizo wahusu wachungaji ndiyo kila siku wanasumbuliwa na wana ndoa kesi haziishi kwa wachungaji ndiyo maana wanatoa ushauri kabla wamechoka na kesi badala ya kugegedana huko wanakimbilia makanisani kushauriwa

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisaa

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kuingia raha sana na rahisi kutoka mpaka mlango upatikane ulishanyooka na kukongoloka juu ni heri nusu shari kuliko shari kamili

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu sometimes usipotumia hekima unaeeza kupotea

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa.

Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida sasa nifanyeje niko njia panda.

Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu mtu nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Fuata nafsi yako inakokutuma maana hata kama hujafunga nae ndoa kumkubali nafsini mwako ni ishara ya ndani ya ndoa kama kweli wote MNA lengo la kuwa mwili mmoja,ila usikilize ushauri wa mchungaji wako kuufanyia kazi iwe juu yako.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: THT
Wasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa.

Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida sasa nifanyeje niko njia panda.

Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NB. Huyu mtu nimeanza mahusiano nae kabla sijaokoka na nimeokoka ukubwani
Funga na kuomba kwa imani thabiti katika roho na kweli kwaajili ya hilo Mungu atakuoneshea njia iliyosahihi

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: THT
Kwanza kabisa dada weye huna dini yeyote ile. Huko kwenye ulokole uliwasindikiza rafiki zako tu. Msichana aliye okoka kamwe hawezi hata kumwangalia huyo muisilamu wako. Kwa sababu hujui hata maana ya ulokole ndo maana unasema ati wazazi hawana shida. Wewe unaolewa pamoja na wazazi wako au unaolewa kwa hao wazazi wake?? Umri wako ni chini ya miaka 8?? Usiwalete wazazi hapo.
Ninachokijua ni kuwa, kama kweli unajijua, utawasikiliza viongozi wako wa kiroho. Namhurumia huyo mchungaji kwani si ajabu kila siku ukikutana na huyo mchumba vyupi lazima vishushwe. Mwisho utaanza kutema mate halafu utauacha huo ulokole kwani kwako hauna faida.
Usiokoke ili uolewe wala usisilimu ili uolewe
Msichana aliyeokoka hawezi hata kumuangalia muislam? acha uongo bhana mbona mi nawakaza sana watoto wa kilokole ss we kwa akili yko unadhani namkazaje bila kuniangalia usoni?

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabsa. Bora wote muwe na imani moja hii pia itasaidia hata watoto mtakao wapata.

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Yani kinachotokea sijui ni ukipofu or wat, maana unajiingiza kwenye shimo huku ukijua kabisa hautatoka salama

spend less, save more
 
Dini za ziloletwa na wazungu na waarabu kutupumbaza zimekua mwiba na zimewafanya viumbe aina ya binaadamu kua vichaa wa kifikra.... Fata moyo wako hao wachungaji wako hawatokuoa na unaweza ukaolewa na mlokole mwenzako ukajikuta uko jahanam kabla na ulokole ukauona mchungu.

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
 
Kasome biblia vizuli wameandika utamuacha baba na mama na kuhungana na mumeo awajawataja wachungaji apo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
pole sana kwa unayopitia, ktk kipindi hiki unamwitaji sana Mungu kuliko mwanadamu ktk kukupa amani ya kweli juu ya huyo mtu, lakini jiulize je matendo uliokuwa unafanya naye kabla hujaokoka bado unaendelea nayo hata naada ya kuokoka?? je anaona kuna badiliko la kweli kwako kiasi na yeye anatamani kuokoka ili akuoe?? ukiona hana mpango wa kuokoka wala hakuna badiliko la tabia kwenu nasi jua bado hujaokoka na ndio maana unapitia ktk hali hii ya mawazo, wokovu ni mgumu na unahitajika kuwa na msimamo wa kumfuata YESU hata kama dunia yoye watakuacha.

Sent from my SM-G928C using JamiiForums mobile app
 
Unasingizia ulokole okoka vizuri dada,utamkosea yesu yako

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hili suala lishawai nikumba, nimekaa na binti 3yrs mwisho wa akaniambia biblia inasema tusifungiwe nira na wasioamini, tulibishana sana mwishowe akabebwa na mwingine. Mtu aliyepo RC, ama KKKT mara nyingi wanasemaje hawajaokoka, kubadilisha dini niliyokulia uwa inaniwia vigumu sana
 
Hayupo aliyetayari kufata dini ya mwenzake

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
and thats the big problem, nyie wote hampo serious sababu umeokoka ukiwa kwenye mahusiano tayari which means ulikuwa na option ya kufuata dini ya ustaadh ila ukaona haikufai so kama mpaka hapo hujajua what to do then YOU ARE A WALKING DEAD!

Sent from my LG-F500L using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom