Naombeni msaada nimechanganyikiwa

Naombeni msaada nimechanganyikiwa

Badili dini,kwani lazima amkubali yesu?kama hamkubali we mkubali \allah kwni nini?at the end of time utaolewa na mwingine then uje upigwe miti na huyuhuyu,F.u...ck wachungaji!
Hahahahah
Watu sijui mna hasira za nini...*** tena jamani

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Dear THT
People have advised a lot, I wont add anything

Natumai mpaka sasa umeshapata mwelekeo wa where next

Kama utafanya maamuzi ya kumuacha kwa sababu za kiimani...ushauri wangu wa 'how' ndo utaanzia hapo

Najua it is not easy as one can think kumuacha mtu mnayependana ikiwa hamjakosana...siyo rahisi kbs lakini ipo mbinu

Kuna kitu kinaitwa soul ties hasa hasa kama mna mahusiano ya kimapenzi

But by Gods power everything is possible

Glory to Jesus

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Ukishachanganyikiwa ushauri unakuwa hamna maana

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Umechanganyikiwa siyo kwa sababu ya yaliyotokea kwenye huo uchumba, umechanganyika kwa sababu hutaki kuijua kweli!!...... ukiijua kweli nayo kweli itakuweka huru!!...... Kwa kifupi tu ni kwamba hayo yaliyokukuta ni gharama(cost) ya kuokoka!!..........wewe ulifikiri kuokoka kwako hutalipa gharama(cost) yeyote??.... labda nikukumbushe tu kuwa kila jambo zuri lina cost yake!!...... Hayo yaliyokukuta ndo cost yako ya kuokoka unayopasa kuilipa kwa hiyo tulia and bear it!!

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
Kumbe kuna wakati akili yako ikitulia na kuacha kuwaza yale madude inakuwa na nondo hivi?

Naam! Wokovu ni gharama sana. Mfano mzuri ni wale mitume wa Yesu. Hakuna aliyekufa kifo cha kishua wale. Ndiyo maana ikasemwa wokovu ni mapambano - ya kiroho, kimwili na mengineyo. Natumaini kuwa THT alivuka salama na bado amesimama imara katika imani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom