Jana ndugu yangu alienda kupima Corona baada ya kupimwa akataka aondoke baada ya kumaliza kupimwa akaambiwa akae kwanza karantini mpaka kesho yake na majibu atapewa hiyo kesho.
Na Mungu mkubwa matokeo amepata negative ila wamemzuia kuondoka leo bila kutoa gharama ya kuwepo karantini ambayo kaambiwa ni laki 3.5 wakampunguzia mpaka laki 2, wakati anaenda kupima Corona alizani ni bure na pia yeye akutaka kubaki hapo karantini ila alilazimishwa na daktari je mwenye kujua kuhusu hili imekaaje? atuambie