Naombeni msaada kwenye hili

Naombeni msaada kwenye hili

Hzo karantin sijaelewa zinakuaje, maana wengine nmeona wanapelekwa hotelin...af ukiwa huna hyo lak 3 unaweza kunegotiate nao kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TMJ hawana cha bure. Ni kama mtu ujipeleke Aga Khan bila kitu mfukoni.

Amandla....
Hapo kuna upigaji. Ingekuwa mimi nisingelipa kabisa wanipeleka wanapotaka. Hakuna sheria inayosema ukienda hospital kupima corona basi lazima uwekwe karantini. Inaelekea labda aliwekwa kutokana na maelezo aliyotoa. Labda alikuwa amekutana na watu wenye virus
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom