Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,139
- 3,000
Mtu hajakukosea lolote na wala hana usumbufu kwenye maisha yako unadai umemchoka? Wewe jamaa ni mtu mshenzi mno kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia. Mimi nakushauri na wewe utafute mume uolewe kwasababu umeshapoteza sifa za kuwa mwanaume. Mwanaume hakinai hovyo. Au upo kwenye siku zako?
Hard comments, ila ndo imeshaenda hii. Wakati mwingine ni bora kukutana na hizi lugha kalikali. Naunga mkono, ingawa ameshindwa kutuhadithia historia japo kidogo.