Naombeni ushauri wakuu

Crystal field theory

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
881
303
Habari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja.

Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa narudi baada ya miezi miwili na huyo mwanaume pia yupo mbali.

Kwenye hili mke wangu alisema mume wangu upendo kwako umeisha hasta tendo la ndoa Hana hisia na Mimi kwakudai nilimwacha mpweke akaruhusu mahusiano mengine Saba u ya umbali.

Nilifanya subra kumpa nasaha aweze kuacha nae na pia muhusika nilimpigia simu akasema mkewe alimwambia kuwa ameachika, nikamwambia kuwa hajaachika aachane na mke wangu akaomba msamaha yakawa yameisha.

Ila kadiri siku zinavoenda naona simu ya mke wangu kaweka password hataki niiguse, na maneno ya kejeli kuwa Mimi nilishakwambia uniache upendo kwako umeisha, mume wangu nifulani na sio wewe. Kiukweli niliumia saana kama vile nimepata msiba.

Nikawajulisha ndugu sake kuwa mtoto wenu amepata mwanaume mwingine na anataka kuolewa Mimi Hana mapenzi tena kwangu, mke wangu akajibu kuwa Mimi ndo nimesababisha aingie huko na sio kwamba anataka kuolewa, na wakati tayari Mimi ananitolea maneno mazito kuwa sio mumewake.

Tarehe 25/1/2024 tutakaa kikao Cha familia na ndugu wote, Sasa je huyu mwanamke anashindwa kuwa muwazi kwa ndugu sake kwa anayonitende je suluhu ya hili jambo nimuache ama nifanyeje maana uhalisia ndio huo naombeni ushauri ndugu zangu.

MBARIKIWE
 
Muache...

Ashaanza kukudharau huyo hivyo inaonesha hana tena upendo na wewe...

Mtu mwenye adabu akiwa na kazi za nje, huwa aachi kuheshimu mke au mumewe...
 
Habari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja.

Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa narudi baada ya miezi miwili na huyo mwanaume pia yupo mbali.

Kwenye hili mke wangu alisema mume wangu upendo kwako umeisha hasta tendo la ndoa Hana hisia na Mimi kwakudai nilimwacha mpweke akaruhusu mahusiano mengine Saba u ya umbali.

Nilifanya subra kumpa nasaha aweze kuacha nae na pia muhusika nilimpigia simu akasema mkewe alimwambia kuwa ameachika, nikamwambia kuwa hajaachika aachane na mke wangu akaomba msamaha yakawa yameisha.

Ila kadiri siku zinavoenda naona simu ya mke wangu kaweka password hataki niiguse, na maneno ya kejeli kuwa Mimi nilishakwambia uniache upendo kwako umeisha, mume wangu nifulani na sio wewe. Kiukweli niliumia saana kama vile nimepata msiba.

Nikawajulisha ndugu sake kuwa mtoto wenu amepata mwanaume mwingine na anataka kuolewa Mimi Hana mapenzi tena kwangu, mke wangu akajibu kuwa Mimi ndo nimesababisha aingie huko na sio kwamba anataka kuolewa, na wakati tayari Mimi ananitolea maneno mazito kuwa sio mumewake.

Tarehe 25/1/2024 tutakaa kikao Cha familia na ndugu wote, Sasa je huyu mwanamke anashindwa kuwa muwazi kwa ndugu sake kwa anayonitende je suluhu ya hili jambo nimuache ama nifanyeje maana uhalisia ndio huo naombeni ushauri ndugu zangu.

MBARIKIWE
Unasubiri kuwekewa sumu ufe? Ameshasema hakutaki na Hana tena hisia na wewe, wewe ni kipi tena unasubiria
 
Pole sana Mkuu wa haya yanayokusibu,

Mwanamke akizungumza kuwa Hisia hana na wewe maanaake Hapo wewe ni Kaka yake au Mdogo wake!! Sasa utawezaje kuwa na Mahusiano na Ndugu simple!!

Mkuu tafuta Mwanamke atakye kuwa na Hisia na Wewe yaani atakupenda acha Tabia ya Kuwa kama Kupe yaani king'ang'anizi kwa Hawa viumbe utapata tabu sana.

Kwenye kikao achilia Kabisa ya kwamba unaruhusu yeye Mkeo kuanza Maisha upya na Wewe unaanza Upya kabisa. Utaniahukuru baadae
 
Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa narudi baada ya miezi miwili na huyo mwanaume pia yupo mbali.

Kwenye hili mke wangu alisema mume wangu upendo kwako umeisha hasta tendo la ndoa Hana hisia na Mimi kwakudai nilimwacha mpweke akaruhusu mahusiano mengine Saba u ya umbali.
KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI
 
Mwambie aondoke,unashindwa kumpiga hata Kofi moja atoe password,Fanya bidii akuambie hyo hyo password upate ushahidi kwanza,then hata huyo jamaa yake mrekodi Kisha mfukuze Kwa kufuata utaratibu
 
Habari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja.

Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa narudi baada ya miezi miwili na huyo mwanaume pia yupo mbali.

Kwenye hili mke wangu alisema mume wangu upendo kwako umeisha hasta tendo la ndoa Hana hisia na Mimi kwakudai nilimwacha mpweke akaruhusu mahusiano mengine Saba u ya umbali.

Nilifanya subra kumpa nasaha aweze kuacha nae na pia muhusika nilimpigia simu akasema mkewe alimwambia kuwa ameachika, nikamwambia kuwa hajaachika aachane na mke wangu akaomba msamaha yakawa yameisha.

Ila kadiri siku zinavoenda naona simu ya mke wangu kaweka password hataki niiguse, na maneno ya kejeli kuwa Mimi nilishakwambia uniache upendo kwako umeisha, mume wangu nifulani na sio wewe. Kiukweli niliumia saana kama vile nimepata msiba.

Nikawajulisha ndugu sake kuwa mtoto wenu amepata mwanaume mwingine na anataka kuolewa Mimi Hana mapenzi tena kwangu, mke wangu akajibu kuwa Mimi ndo nimesababisha aingie huko na sio kwamba anataka kuolewa, na wakati tayari Mimi ananitolea maneno mazito kuwa sio mumewake.

Tarehe 25/1/2024 tutakaa kikao Cha familia na ndugu wote, Sasa je huyu mwanamke anashindwa kuwa muwazi kwa ndugu sake kwa anayonitende je suluhu ya hili jambo nimuache ama nifanyeje maana uhalisia ndio huo naombeni ushauri ndugu zangu.

MBARIKIWE
Pole sana Mkuu ulimkosea kuchagua mke
 
Wale watu unaosikia wameua kwenye vyombo vya habari sababu ni kama hizi mkuu,wewe sio kama wewe ni mpole kivile,maisha yako very tight unakuta mtu unapambana at the end of day mtu anakujibu majibu kama hayo.ili kujielusha na kifo Cha ujanani achana naye ,vinginevyo atakuwekea hata sumu
 
Jamaa unashangaza Sana.

Mwanamke huyo ameshakuacha tena Kwa kukupa talaka kabisa.

Aliposema "wewe sio mume wangu" hiyo ni talaka tayari.
Tatizo tumekariri kuwa anayetoa talaka au kuachika ni mwanamke Tu.

Mkuu ukiachwa achika
 
ukiwa Mr nice guy automatically unakua mpumbavu

mwanamke kasema hakutaki wewe unang'ang'ania nini?

kwaiyo hicho kikao utaenda kulia asikuache huwezi kuishi bila yeye?

mnakamsemo kenu "lakn bado nampenda"

Mtu kakuonesha red flag zooote lakn bado unang'ang'ania unataka mpaka umkute kitandan wanamt**ba ndio umuache

jipe muda Anza kujifunza how to be masculinity transform yourself from boy to man

don't be pvssy
 
Screenshot_20231225-192317_Quora.jpg
mwamba huyo hapo ananyemelea.

Anyway on a serious note,
Huyo mkeo alikosa yale mapenz mazito wanawake wanayoyataka after kufunga ndoa. Na hyo imechagizwa na kumuacha muda mrefu nyumbani kwenu. Automatically anahisi ametelekezwa na pia kama treatment sio nzuri kwenu, lazma memba wengine wapate nafasi.
Pia nahs bado ndoa ni changa so anaona kabisa hata akisepa bado soko lake liko vizur.
Maamuz ya hapa hua n magumu sana, yanahitaji logic kuliko hisia.
Mwanamke akishafika point ya kukukosea heshima jua tayari maji yamezidi unga.
Hata ukipambania mbaki nae, bado atakuendesha tu maana ushaonekana mdhaifu.
A woman akishaamua kukuchiti, ujue n kitu amekitafakari sana sio bahati mbaya. Na hata akija analia kua alikosea, jus know tayari amekudharau in case ukisamehe na atatombwa tena (ashakhum si matusi).
My nigga, hapo ujue anataftwa mmoja wa kubebeshwa zigo la misumari, ukisema muachane atasema yeye hakua tayari lakn we ulilazimisha, ukikataa msiachane, jus know ataendelea na huu ujinga. Ukisimama nchale, ukikaa nchale.
1. Kama ukiamua kumtema, mteme mazima tena kiroho safi na umshukuru Mungu.
2. Ukiamua kubaki nae, kaa kimachale kabisaaa maana hapo hakuna maajabu.
KIla la kheri
 
Dogo acha kulialia kuwa mwanaumme.
Tukushauri nini sasa kwenye jambo lililo bayana kama hilo?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom