Naombeni Mbinu kwenye hili la Ndoa

Mtu hajakukosea lolote na wala hana usumbufu kwenye maisha yako unadai umemchoka? Wewe jamaa ni mtu mshenzi mno kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia. Mimi nakushauri na wewe utafute mume uolewe kwasababu umeshapoteza sifa za kuwa mwanaume. Mwanaume hakinai hovyo. Au upo kwenye siku zako?

Hard comments, ila ndo imeshaenda hii. Wakati mwingine ni bora kukutana na hizi lugha kalikali. Naunga mkono, ingawa ameshindwa kutuhadithia historia japo kidogo.
 
Huingii kwenye mahusiano bila kuwa hata na kakitu ka moja kalikokuvuta kwa huyo mtu, ulivutiwa na nini?

It's either of the two una mke wa sirini au yeye ana mume wa sirini.
wanaitwa spiritual husbands and wife, kwa lugha ya huku mwambao majini mahaba.
 
Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.

Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.

Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.

Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Mkuu kwanza nikupe pole. Matatizo yaliyo katika mwaka mmoja tu wa ndoa mara nyingi yanatokana na mmoja wenu au kila mmoja wenu kutokufahamu vizuri nafasi yake.

Ushauri wangu
  • Uwe na mtazamo wa kutoa kuliko kupokea zaidi, yani kumfurahisha mwenzio kuliko kutegemea wewe kufurahishwa.

  • Do something to save your marriage, mambo hayajiweki sawa yenyewe. Ndoa haijengwi kwa upendo peke yake.

  • Boresha mawasiliano, tumia lugha ya upole usiwe mwepesi kurusha maneno ya kuudhi

  • Achana na kuwazia suala la yeye kushika mimba, assume yeye ndo mwanao wa kwanza.

  • Jilazimishe kumpenda yani hata ikibidi ku pretend.

  • Usipuuzie maarifa ya msingi ya tendo la ndoa. (Usitake kuwa expert, jitahidi tu kuboresha)

  • Fanya mazoezi ya mwili, kula mlo sahihi

  • Muandae mwenzako hata kwa kumnunulia vizawadi ukirudi

  • Hali ikiendelea tafuta mtu anayeaminika aliyekuzidi umri, mwenye hekima akupe ushauri wa uwazi na uzoefu. Ni vizuri kuwa na mtu wa aina hii hata kama huna tatizo lolote bado. Kama wewe ni muislamu mtafute Sheikh mwenye busara zake akupe ushauri. Sio vizuri kuachana itaharibu mambo yako mengi baadae. Sijaona katika maelezo yako sababu ya kukufanya uwaze kuachana.

  • Fanya hayo juu na utavuna utakachopanda.
 
Hard comments, ila ndo imeshaenda hii. Wakati mwingine ni bora kukutana na hizi lugha kalikali. Naunga mkono, ingawa ameshindwa kutuhadithia historia japo kidogo.
Huenda ana sababu ambayo ni nzito lakini kwa kuwa kaamua kufanya siri acha na sisi tumjibu kwa kile alichotuambia. Labda huenda yeye ndo ana tatizo kubwa ambalo anaona ni aibu kwake mbele ya huyo mkewe.
 
Usimsaidie kitu chochote, usimpe Hela, akipiga simu usipokee, akikusalimia kaa kimya, tafuta washikaji wenzako uwe busy nao hata kuangalia movie, mpira, kucheza game kuwa busy sana.
 
Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.

Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.

Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.

Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Hukupata Mafundisho ya Ndoa!

Ulidhani Ndoa ni Mpango wa kujiamulia utakavyo!

Utashangaa kuanzia muda huu ikiwa utaendelea na Akili ya namna hiyo!

Ndoa ni Mpango kamili na Mahsusi wa Mungu!

Unajiona una afya njema na una macho ya kuendelea kuona wanawake wengine ukidhani hao ni bora zaidi..

Mungu akiingilia kati wewe ndiye utageuka kuwa Mzigo kwa Mkeo!

Unaweza kupatwa na kitu cha ajabu ukashangaa...na atakayekusaidia kwa Dhati ni huyo mkeo uliyenaye!

Ndipo utakapojuta na kusaga meno...na kujua kwa nini huyo ndiye mke bora kuliko wote Duniani!

Nenda Msikitini au Kanisani ukamwombe Mungu Hekima!

Ukiwa na Masikio....utasikia.
 
Mnahangaika kumshauri mtu ambae hata demu hana?
Mwenye ndoa hawezi kuwa na akili za mtoa mada kufungua thread kila saa kutafuta attention
 
Kumtendea mtu ubaya ambaye hajawahi kukutendea jua ni deni uposiku utalipwa.
kaa tuliza akili yako
 
Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.

Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.

Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.

Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
sababu za kitoto toka kwa mtoto. ulipomuoa hao wanaovutia hujawaona?
 
Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.

Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.

Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.

Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Kwer hii Dunia wagonjwa wa afya ya akili sio mpk wavue nguo isipo kua ata mtu ukitembea unaweza kuwa mental wew kwan kuna mtu alikuchagulia ktk kuoa uyo mwanamke mpk tukushauri jinsi yakukunasua kwenye hiyo ndoa acha uchizi
 
Back
Top Bottom