Naombeni mbinu jinsi ya kuwa bahili, kubana bajeti

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
455
Jamani,

Naombeni mbinu za kuwa mchumi, nisitumie pesa hivyo, hali hii inanitesa sana.

Natafuta pesa kwa taabu mnoo. Yaani kuipata Ile 20,000 NI kazi Sana lakini nikiwa na pesa matumizi yangu ni mabya mnoo.

Yaani mwezi December Hadi February nafikir nimetumia zaidi ya 1M.

Juzi Jana na leo nishatumia 170,000.

Sina kazi Wala kutegea uchumi chochote, Ila na haso huku na huko kutafuta.

Alafu nikiombwa pesa kusema Sina siwezi, kama ninayo lazima nitatoa tu. 😢😢

Tatizo linanitesa Sana, kwasababu nitakapokwama Sina MTU YEYOTE wa kunipatia hata 5000 nikiwawatizama ndugu na marafiki wanaonizunguka sioni wa kunisaidia nikikwama.

Nisaidieni niwe bahili, na mchumi niache matumizi mabaya ya pesa ninayoitafuta kwa taabu na nguvu nyingi.

Nimewaona watu wakishinda na njaa huku Wana pesa mfukoni, yaani nataka kuwa bahili Kama hivyo.
 
Jamani....

Naombeni mbinu za kuwa mchumi,,,,,nisitumie pesa hivyo,Hali hii inanitesa Sana.

Natafuta pesa kwa taabu mnoo....yaani kuipata Ile 20,000 NI kazi Sana lakini nikiwa na pesa matumizi yangu ni mabya mnoo

Yaani mwezi December Hadi February nafikir nimetumia zaidi ya 1M

Juzi Jana na leo nishatumia 170,000,

Sina kazi Wala kutegea uchumi chochote, Ila na haso huku na huko kutafuta

Alafu nikiombwa pesa kusema Sina siwezi,Kama ninayo lazima nitatoa tuuuu

Tatizo linanitesa Sana, kwasababu nitakapokwama Sina MTU YEYOTE wa kunipatia hata 5000 nikiwawatizama ndugu na marafiki wanaonizunguka sioni wa kunisaidia nikikwama.

Nisaidieni niwe bahili, na mchumi niache matumizi mabaya ya pesa ninayoitafuta kwa taabu na nguvu nyingi.........

Nimewaona watu wakishinda na njaa huku Wana pesa mfukoni ....yaani nataka kuwa bahili Kama hivyo
Mie ukiniomba hela naweza kukupa hata yote kwenye pochi ngoja nami nijifunze mbinu japo kwenye kula vizuri mtanisamehe maana ndo stareh yng
 
1. Usitembee na hela nyingi.
2. Usipende kulipa kwa card au Lipa Namba.
3. Uninstall NMB na CRDB Apps.
4. Kama bando linakufirisi punguza social medias.
5. No showoffs.
6. Kama unapenda kula kula anza kupika.
7. Badala ya kupeleka nguo Dry cleaner, ita mama fua.
8. Nunua iteams unazozihitaji.
9. Tumia formula: If you can't buy two now, then you can't afford it.
10. Ukitaka fanya shopping ya kitu chochote cha thamani zaidi ya Laki 1, jipe week moja mbele, uone kama still unakihitaji, usinunue kwa mihemko.
11. Punguza machawa.
12. Jitoe out cheap places (Cheap Thrills by Sia & Sean Paul)
13. Anza kufanya activities ambazo hazihitaji hela sana mfano jifunze kufua, kupika, kuosha gari, kupaka rangi ukuta, mazoezi etc)

Oya we...
 
Hii nzur sana
 
Jamani....

Naombeni mbinu za kuwa mchumi,,,,,nisitumie pesa hivyo,Hali hii inanitesa Sana.

Natafuta pesa kwa taabu mnoo....yaani kuipata Ile 20,000 NI kazi Sana lakini nikiwa na pesa matumizi yangu ni mabya mnoo

Yaani mwezi December Hadi February nafikir nimetumia zaidi ya 1M

Juzi Jana na leo nishatumia 170,000,

Sina kazi Wala kutegea uchumi chochote, Ila na haso huku na huko kutafuta

Alafu nikiombwa pesa kusema Sina siwezi,Kama ninayo lazima nitatoa tuuuu 😢😢

Tatizo linanitesa Sana, kwasababu nitakapokwama Sina MTU YEYOTE wa kunipatia hata 5000 nikiwawatizama ndugu na marafiki wanaonizunguka sioni wa kunisaidia nikikwama.

Nisaidieni niwe bahili, na mchumi niache matumizi mabaya ya pesa ninayoitafuta kwa taabu na nguvu nyingi.........

Nimewaona watu wakishinda na njaa huku Wana pesa mfukoni ....yaani nataka kuwa bahili Kama hivyo
Muombe sana Mungu na panga vitu vya kipaombele na inayobaki weka be ki au kwenye simu,pia jitahidi kuwa bize kama vile kulimalima bustani au michezo ,ukichoka unaoga na kulala ,siku imeisha hiyo!
 
Jamani....

Naombeni mbinu za kuwa mchumi,,,,,nisitumie pesa hivyo,Hali hii inanitesa Sana.

Natafuta pesa kwa taabu mnoo....yaani kuipata Ile 20,000 NI kazi Sana lakini nikiwa na pesa matumizi yangu ni mabya mnoo

Yaani mwezi December Hadi February nafikir nimetumia zaidi ya 1M

Juzi Jana na leo nishatumia 170,000,

Sina kazi Wala kutegea uchumi chochote, Ila na haso huku na huko kutafuta

Alafu nikiombwa pesa kusema Sina siwezi,Kama ninayo lazima nitatoa tuuuu 😢😢

Tatizo linanitesa Sana, kwasababu nitakapokwama Sina MTU YEYOTE wa kunipatia hata 5000 nikiwawatizama ndugu na marafiki wanaonizunguka sioni wa kunisaidia nikikwama.

Nisaidieni niwe bahili, na mchumi niache matumizi mabaya ya pesa ninayoitafuta kwa taabu na nguvu nyingi.........

Nimewaona watu wakishinda na njaa huku Wana pesa mfukoni ....yaani nataka kuwa bahili Kama hivyo
Kuwa na lengo ambalo linakugjarimu muda wako kutafuta oesa ulitekeleze na hapa namaanisha kitu tangible cha kukuletea maendeleo ikishindikana weka mbadala jemga kibanda maana ulivyosema disemba hadi Feb umetumia karibua mil 1 huna matumizi makubwa ya kifamilia
 
1. Usitembee na hela nyingi.
2. Usipende kulipa kwa card au Lipa Namba.
3. Uninstall NMB na CRDB Apps.
4. Kama bando linakufirisi punguza social medias.
5. No showoffs.
6. Kama unapenda kula kula anza kupika.
7. Badala ya kupeleka nguo Dry cleaner, ita mama fua.
8. Nunua iteams unazozihitaji.
9. Tumia formula: If you can't buy two now, then you can't afford it.
10. Ukitaka fanya shopping ya kitu chochote cha thamani zaidi ya Laki 1, jipe week moja mbele, uone kama still unakihitaji, usinunue kwa mihemko.
11. Punguza machawa.
12. Jitoe out cheap places (Cheap Thrills by Sia & Sean Paul)
13. Anza kufanya activities ambazo hazihitaji hela sana mfano jifunze kufua, kupika, kuosha gari, kupaka rangi ukuta, mazoezi etc)

Oya we...
Noted with thanks.....
Wahanga ni wengi
 
Ubahili ni kipaji mzee,na mm ndo kipaji changu..nikitaka kutumia pesa ndefu kwenye kununua kitu nitafanya research wiki nzima kuangalia wap pa bei nafuu...nimeoa ila mke wangu kashakubali, huwa sitoi pesa bila maelezo shawishi,na yeye kashaanza kuendana nami kawa bahili PROMAX...kuhusu mademu wa nje nikitaka kupiga huwa natumia maneno matamu sana na vizawadi vya bei nafuu ili kuwanasa.kwenye show natumiaga ufundi wote ili hata nikimpa demu hela ndogo halalamiki kabsa na wengine huwa wanaomba show wenyewe ila wananijua me cha UBAHILI..utasikia we cha ubahili nishalipia lodge njoo sehemu fulani
NOTE;ubahili unalipa sana nimefanikiwa kupata kibanda chini ya miaka 30 hapa mjini,na si hicho tu bali vingi tu lkn kipato changu ni cha kawaida ila nakibana sana mpaka kinatosha!
 
HongeRA mkuu, wengine tunaroho yakutafutia watu sijui

Ubahili tunaukosa kabisa
 
Screenshot_20240210-172515.jpg

Anzia hapa.

Mbona wapare wameweza?!
 
Hili kwangu nimeshindwa kabisa kujibana yaani huwa sijui maana ya kujibana.

Kutumia milioni ndani ya siku 4 nikabaki sina hata mia ni kawaida na ninachomshukuru Mungu kwakuwa tu mianya ya kupata vijisenti vya mara kwa mara havikauki ndiyo pona yangu.

Yaani nikiwa na hela nawashwa kutumia na watu wengine nakuwa sina amani nikiwa na hela mfukoni halafu nisikie tu mtu ama uhitaji na fedha lazima nimpe.
 
1. Usitembee na hela nyingi.
2. Usipende kulipa kwa card au Lipa Namba.
3. Uninstall NMB na CRDB Apps.
4. Kama bando linakufirisi punguza social medias.
5. No showoffs.
6. Kama unapenda kula kula anza kupika.
7. Badala ya kupeleka nguo Dry cleaner, ita mama fua.
8. Nunua iteams unazozihitaji.
9. Tumia formula: If you can't buy two now, then you can't afford it.
10. Ukitaka fanya shopping ya kitu chochote cha thamani zaidi ya Laki 1, jipe week moja mbele, uone kama still unakihitaji, usinunue kwa mihemko.
11. Punguza machawa.
12. Jitoe out cheap places (Cheap Thrills by Sia & Sean Paul)
13. Anza kufanya activities ambazo hazihitaji hela sana mfano jifunze kufua, kupika, kuosha gari, kupaka rangi ukuta, mazoezi etc)

Oya we...
So aanze kuishi primitive life siyo
 
Kwa kutoa ndo unapata pesa
Na usipotoa hupati
Unaweza kuta mtu unampa hela mnakuwa na mahusiano mazuri unapata pesa kupitia kwake indirect
Kwa mfano unamsaidia mtu anakuja kuwa mteja au kukuunganisha na wateja
Kuwa na mahusiano na watu ni vizuri, pesa ni watu
Hata akina na Bakhresa wanatoa misaada huwezi amini
Nenda Buguruni kwa Bakhkresa mwezi Ramadhan analisha watu bure
Toa ndo utapokea ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom