matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,511
chausiku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha wa kanda ilee… Elineema.
Gillian,Mildred, GenesisJina lolote litakalonipendezea liwe la kikristo
Pole ShabaniHahahaha kama naiona hivi Tanzania ijayo ya wagiriki wajinga na masikini
PutinGuardiola😁
Vasco da gamaPutin
Ingia google utapata majina yote mazuri na maana zakeNipo serious mkuu
Asante mkuu
Hamna jina la kikristo na kiislam. Hivi kwenye biblia Mungu alisema chochote kuhusu majina? Yesu je? Mwite jina la MwatumuJina lolote litakalonipendezea liwe la kikristo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahCocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samia
Tulia
Dorothy
Inaonekana mleta uzi hajui maana na nguvu iliyo nyuma ya jina! Unachukulia kirahisi tu! Haya! Kwa vile ujielewi chagua jina moja kati ya haya na muite mwanao: devil, hell, ghost, Hitler, Ass, alshabaab!Jina lolote litakalonipendezea liwe la kikristo
Kibori ni la kiumeJina lolote litakalonipendezea liwe la kikristo
-ChausikuJina lolote litakalonipendezea liwe la kikristo
Ndo ukweli huoWe ujui kitu