Majina ya kina maria achana nayo kabsa hawaoleki hao,Muite AnneMaria, MariaGolleth, Ave Maria, nk. Haya majina ukimuita binti yako, basi lazima ukubwani atakuwa Mtawa wa Kikatoliki.
JamiiforumianeeJina lolote litakalonipendezea liwe la kikristo
Wapi huko ndugu katekista?Majina ya kina maria achana nayo kabsa hawaoleki hao,
Uongo mtupu.Ndugu ishu ya jina la mtoto sio sawa na karata.
Inatakiwa kuwa serious Kuna majina yenye laana na yenye baraka