Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,470
- 46,425
Siyapendi hayo majina, siwezi kumpa.Basi mpe mwanao jina chausiku,matatizo,shida,tabu,mateso kisha subiria mrejesho
Kina Riziki ni wapiga debe na wavuta unga, sijui utasemaje hapo?
Wewe unaitwa nani na jina lako limeakisi kufeli au mafanikio yako?