Naombeni jina la mtoto wa kike

Naombeni jina la mtoto wa kike

Mpaka nimeliweka hapa wazi nina ushahidi na ninachokiongea,, kwenye ukoo wetu kila kizazi lazima atokee wa kupewa hilo jina . And it works☺️☺️.. haya ngoja nikafute😂😂😆
Sifa jipe mwenyewe mama. Ukiamini yaliyo mema juu yako basi hakika mema yatakuwa yako.
 
Mi sio wa Dar na mwanamke niliozaa nae anatoka huko huko North na ndio alilipendekeza mi niliongezea la kilugha tu ili kulifanya liwe la kipekee.
Siko mbali na hisia zangu… kuna majina kuyakuta mikoa flani lazima pawe na chimbuko
 
😂😂😂 heri huku North kidogo wanaremba inakuwa Jacqueline. Jacklini silipendi 🤣🤣🤣🤣
Yaani basi tu😂😂😂

Hata mimi silipendi ila ndio basi tena. Usipokuwa makini huku unashangaa kuitikia Kumbe hujaitwa wewe😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom