Sasa kama hulitaji mama na lipo hapo sisi tutajuaje😂My fav…
Gianna
Catherine
Brianna
Gracious
Abigail
Sandra
La kwangu… nalipenda ila siwezi kulitaja..
lako beib nalipendaga Lenie
Chausiku😂😂90% majina ya kizungu, kigiriki, kireno, Arab n.k
Inamaana wazazi tumeshindwa kabisa kutunga majina mzuri ya kiswahili? Tunajiona wajanja wenyewe.
Kufikia 2070 Tanzania itakuwa imejaa wagiriki, wareno, warabu na waingereza.
Binafsi sina jina la kiswahili.. kwanini nije kuita mtoto jina la mitishamba?90% majina ya yaliyotajwa ni kizungu, kigiriki, kireno, Arab n.k
Inamaana wazazi tumeshindwa kabisa kutunga majina mzuri ya kiswahili? Tunajiona wajanja wenyewe. Tunajiona wasomi wenyewe.
Kufikia 2070 Tanzania itakuwa imejaa wagiriki, wareno, warabu na waingereza.
Chagua moja kati ya haya hapa; AnneMaria, MariaGolleth, Ave Maria, nk. Haya majina ukimuita binti yako, basi lazima ukubwani atakuwa Mtawa wa Kikatoliki.
Nipo serious mkuuNdugu ishu ya jina la mtoto sio sawa na karata.
Inatakiwa kuwa serious Kuna majina yenye laana na yenye baraka
Asante mkuuMatendo 9: 36~42
Thabita/Dorcas
Habari Zake Zimeelezwa Vema Hapo Ukisoma Bible Yako
zelenskyChausiku😂😂
Sawa mpe jina la mitishamba ya kigiriki na kirenoBinafsi sina jina la kiswahili.. kwanini nije kuita mtoto jina la mitishamba?
Yah, coz yanasound poa sana na yana maana nzuri.Sawa mpe jina la mitishamba ya kigiriki na kireno
Hahahaha kama naiona hivi Tanzania ijayo ya wagiriki wajinga na masikiniYah, coz yanasound poa sana na yana maana nzuri.
Aisee!!!!Mwanangu anaitwa Giannah sema nimeongeza ubunifu nikaongeza na la kilugha .
We mzee hebu chill kidogoSamia
Tulia
Dorothy
Usichukie jinaHamna aisee.
Huku yamejaa Haya Haya ya kawaida😂😂😂
Haswa Jacqueline uwiiii🥴. Kila mtu ni Jakilini huku😂😷
Sifa sijui tafuta google yana maana zakeUnaweza niambia sofa za hayo majina kidogo
Guardiola😁zelensky