Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,796
- 7,937
ZUMARIDI
Labda anaona cocastic imekaa poa 😂😂Yaan hadi mie mwenyewe nimechekaa balaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjui aliwaza nn
Anytime even now kama anaweza.Sawasawa, saa ngapi nimwambie
Nadhani atakua amelala,, Kesho mapema Sana nitampa salamu zako akutafuteAnytime even now kama anaweza.
Hahaa Kitonoli ndio jina gani lakiniMajina niliyonayo yote ya kibantu, najua yeye atakuwa anataka ya kizungu.
Check list hii:
Nyamizi, Mwazani, Tatu, Pili, Kitonoli, Kalunde nk.
Sawa alale salama nilikuwa nawaza sana kuhusu yeye.Nadhani atakua amelala,, Kesho mapema Sana nitampa salamu zako akutafute
Basi mpe mwanao jina chausiku,matatizo,shida,tabu,mateso kisha subiria mrejeshoNdo ukweli huo
Tatizo wabantu, ila mnataka majina ya kizungu. Kitonoli jina sexy sana ilo 😅Hahaa Kitonoli ndio jina gani lakini
Yuko poa Kua na AmaniSawa alale salama nilikuwa nawaza sana kuhusu yeye.
Chukua la binti angu *Cleopatra *Jina lolote litakalonipendezea liwe la kikristo
Unataka umwoe Maria wewe ni Yosefu?Majina ya kina maria achana nayo kabsa hawaoleki hao,
Samiah.Jina lolote litakalonipendezea liwe la kikristo
Hao waishie kwenye utawa TU ndoa hawaziweziUnataka umwoe Maria wewe ni Yosefu?
Ok ukishasema wewe yatosha kuwa na amaniYuko poa Kua na Amani
Mpaka hili nalo unataka tulijadili humu JF?Jina lolote litakalonipendezea liwe la kikristo