Naombeni jina la mtoto wa kike

Naombeni jina la mtoto wa kike

Utapenda kumpa jina ya kike lenye asili ya kiafrika?Kama ndiyo angalia haya;

1.Zuri; maana inajieleza.

2.Adana; maana ni binti kipenzi cha baba.

3.Jabari; maana...shujaa.

4.Imani; linajieleza.

5.Sade; Tumaini.

6.Nala; mwenye furaha.

7.Makena; aliyebarikiwa.

8.Amahle; mrembo,mzuri.

9.Aberash; mwenye kutoa mwanga,anayeng'aa.

10.Jamila; mzuri mrembo.
 
Back
Top Bottom