Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,593
- 9,188
Halafu wanapigwa miti balaa!Majina ya kina maria achana nayo kabsa hawaoleki hao,
Afadhali hata ampe jina la Zuchu
Halafu wanapigwa miti balaa!Majina ya kina maria achana nayo kabsa hawaoleki hao,
😍 akikosa hapo basi acha amtafutie mtoto mambo meusiNakazia📌📌💕
Yeah 👊😍 akikosa hapo basi acha amtafutie mtoto mambo meusi
✌ mamboz?Yeah 👊
Poa za kwako?✌ mamboz?
😂😂😂Cocastic
Salama sijui wewe?Poa za kwako?
Mungu mwema, Niko good somehowSalama sijui wewe?
Why somehow mama?Mungu mwema, Niko good somehow
Kuna mambo tu hayakukaa vizuri, ila Niko napambana nayo hapa.. Hope Hadi Kesho kila kitu kitakua sawaWhy somehow mama?
Ok kila la heri ufanikishe yawe sawa dear.Kuna mambo tu hayakukaa vizuri, ila Niko napambana nayo hapa.. Hope Hadi Kesho kila kitu kitakua sawa
Amen 🙏🙏.. Umemisiwa lakiniOk kila la heri ufanikishe yawe sawa dear.
Yaan hadi mie mwenyewe nimechekaa balaaa.
Majina niliyonayo yote ya kibantu, najua yeye atakuwa anataka ya kizungu.
Na nani 🤗Amen 🙏🙏.. Umemisiwa lakini
Na LichaNa nani 🤗
Amemisika pia sana 😘Na Licha
Sawasawa, saa ngapi nimwambieAmemisika pia sana 😘
Mwambie anicheki keshouo