Mimi ni kijana ambae nipo Kigoma Vijijini sina mtaji ila nimeweza kuandika mchanganuo wa muladi wa matitkitti maji nina mashamba hivyo Naomba Musaada wa mutaji na ntaweza kurejesha ndani ya miezi mi nne kwa atakaye weza kunikopesha,naomba musaada pia wa kitaalamu mimi ni mtoto wa mkulima wa kawaida tu,CHINI NI MCHANGANUO WA PROJECT HIYO.
1. Ukubwa wa eneo eka Mbili | 4900m2*2 | ||||||||||
2. Spacing 45cm x 80 cm (shimo kwa shimo; mstari kwa mstari) | |||||||||||
Idadi ya miche/ Mbegu zinazotakiwa= ukubwa wa eneo/ nafasi | 11400*2 | mbegu/miche | |||||||||
Idadi ya Mavuno: Kila mche utazaa matunda 3, | Jumla ya matunda | 68400 | |||||||||
Jumla ya mauzo yanayotegewa toka katika matunda 34200@ tsh 3000 | 205200000 | tsh | |||||||||
GHARAMA | TSH | ||||||||||
1. Mbegu, kutoka east west seed company mbegu 80 ni tsh 2500, kwa hiyo mbegu 11400*2? | 712500 | tsh | |||||||||
2. Gharama ya kulima shamba na kuandaa matuta | 400000 | tsh | |||||||||
3. Mbolea ya kupandia DAP mifuko 6, maana kila shina linahitaji gram 5, so kwa mashimo 11400*2? | 390000 | tsh | |||||||||
4. Booster kama Polycoffee/Polyfeed kilo 2 inatosha | 20000 | TSH | |||||||||
5. Mbolea ya kukuzia kama Urea Mifuko 6@ tsh 70000 | 420000 | tsh | |||||||||
6. Gharama ya Madawa lita 2 ya Phyrinex/ Dursaban | 50000 | tsh | |||||||||
7. Gharma ya matandazwa/Mulching | 200000 | tsh | |||||||||
8. Gharama ya vibarua 2 kwa siku 90 kila mmoja 3000tsh Kwa siku | 1080000 | tsh | |||||||||
9. Gharama ya usafiri Fuso 4@ 600,000 tsh | 2400000 | tsh | |||||||||
10.Gharma ya miundo mbinu ya maji | 1000000 | tsh | |||||||||
11.Mafuta lita 10 kila siku, kwa siku 90, kila lita 2500 | tsh | 2250000 | tsh | ||||||||
Jumla ndogo | 8922500 | tsh | |||||||||
tsh | |||||||||||
JUMLA KUU YA GHARAMA | 8922500 | tsh | |||||||||
FAIDA KAMILI (JUMLA YA MAUZO -JUMLA YA GHARAMA) | 196,277,500.00 | tsh |