Naomba ushauri: Wapi nipate msaada wa mtaji juu ya mradi wangu wa matikiti maji, no 0757494890

Sema G

Member
Feb 6, 2014
14
0
Mimi ni kijana ambae nipo Kigoma Vijijini sina mtaji ila nimeweza kuandika mchanganuo wa muladi wa matitkitti maji nina mashamba hivyo Naomba Musaada wa mutaji na ntaweza kurejesha ndani ya miezi mi nne kwa atakaye weza kunikopesha,naomba musaada pia wa kitaalamu mimi ni mtoto wa mkulima wa kawaida tu,CHINI NI MCHANGANUO WA PROJECT HIYO.
1. Ukubwa wa eneo eka Mbili 4900m2*2
2. Spacing 45cm x 80 cm (shimo kwa shimo; mstari kwa mstari)
Idadi ya miche/ Mbegu zinazotakiwa= ukubwa wa eneo/ nafasi 11400*2mbegu/miche
Idadi ya Mavuno: Kila mche utazaa matunda 3, Jumla ya matunda 68400
Jumla ya mauzo yanayotegewa toka katika matunda 34200@ tsh 3000 205200000tsh
GHARAMA TSH
1. Mbegu, kutoka east west seed company mbegu 80 ni tsh 2500, kwa hiyo mbegu 11400*2? 712500tsh
2. Gharama ya kulima shamba na kuandaa matuta 400000tsh
3. Mbolea ya kupandia DAP mifuko 6, maana kila shina linahitaji gram 5, so kwa mashimo 11400*2? 390000tsh
4. Booster kama Polycoffee/Polyfeed kilo 2 inatosha 20000TSH
5. Mbolea ya kukuzia kama Urea Mifuko 6@ tsh 70000 420000tsh
6. Gharama ya Madawa lita 2 ya Phyrinex/ Dursaban 50000tsh
7. Gharma ya matandazwa/Mulching 200000tsh
8. Gharama ya vibarua 2 kwa siku 90 kila mmoja 3000tsh Kwa siku 1080000tsh
9. Gharama ya usafiri Fuso 4@ 600,000 tsh 2400000tsh
10.Gharma ya miundo mbinu ya maji 1000000tsh
11.Mafuta lita 10 kila siku, kwa siku 90, kila lita 2500 tsh 2250000tsh
Jumla ndogo8922500tsh
tsh
JUMLA KUU YA GHARAMA 8922500tsh
FAIDA KAMILI (JUMLA YA MAUZO -JUMLA YA GHARAMA) 196,277,500.00 tsh
 
Ukubwa kiasi gani na pia hiyo bei sidhani kama ni kitu kinachowezekana unapouza kwa jumla. Mlaji atauziwaje?

Ukubwa ni eka mbili,nimeshafanya window shorping kwa Kahama,Shinyanga,Kigoma mjini na Mwanza pia Bukoba nilikuta bei za rejareja kwa wazaji hao ni 5000 kwa Kigoma ila sehemu nyingie ni Kuanzia 7000 kwa matikiti makubwa sana ya kama kilo 5 na zaidi hivyo 3000 kwa wastani inakidhi soko la walaji wangu.
 
Mchanganuo wako sijauelewa,unatumia gharama kubwa sana,

Hizo ghala kubwa ni za miundo mbinu kwa kuwa nataka kufany irrigation ili niweze kulima hata kipindi cha Kiangazi,naomba unielekeze nipunguze nini hapo,msaada wakuniunganisha na taasisi za mikopo itanisadia sana au kama kuna wakuwasiliana na mm ili 2one ni jinsi gani tuwe nae
 
Hii business plan umefanya utafiti kweli? Umelijua soko vizuri. Mie nakushauri anza kidogokidogo kwa mtaji wako au wa kukopa. Usikope hela kubwa ukaanzie biashara usiowahi kuifanya. Unakopa kuinua mtaji wa biashara inayoendelea. Usijerudisha deni kubwa bila faida
 
Mama nimetembelea masoko,hayo ni kwa awamu ya pili kwa yakwanza nitalima one eka na ghalama yake ni kama million sita ila mpaka sasa nina milioni nne za kuanzia sasa natafta wapi nisaidiwe ili nifikie lengo.
 
Milion 6 kwenye tikiti eka moja?we hesabu zako kuna sehemu umekosea?hzo garama nizajuu sna..
 
Kama una milioni 4, na unasema wewe mtoto wa mkulima. Kamata jembe kata gharama ya kulima, kupanda na kupalilia. Hela tumia kwa madawa, mbolea na usafiri. There is no an easy start
 
Mfano, unahitaji vibarua 2 kwa siku 90? Kwa nini? Na umesema matikiti unalima siku 75. Vibarua saa zote hapo wanafanya nini, na wewe mkurugenzi utafanya nini? Mafuta kwa ajili ya kumwagilia nayo ni mengi sana, kwani hutamwagilia hadi siku ya kuvuna.
 
Mimi ni kijana ambae nipo Kigoma Vijijini sina mtaji ila nimeweza kuandika mchanganuo wa muladi wa matitkitti maji nina mashamba hivyo Naomba Musaada wa mutaji na ntaweza kurejesha ndani ya miezi mi nne kwa atakaye weza kunikopesha,naomba musaada pia wa kitaalamu mimi ni mtoto wa mkulima wa kawaida tu,CHINI NI MCHANGANUO WA PROJECT HIYO.
1. Ukubwa wa eneo eka Mbili
4900m2*2
2. Spacing 45cm x 80 cm (shimo kwa shimo; mstari kwa mstari)
Idadi ya miche/ Mbegu zinazotakiwa= ukubwa wa eneo/ nafasi
11400*2
mbegu/miche
Idadi ya Mavuno: Kila mche utazaa matunda 3,
Jumla ya matunda
68400
Jumla ya mauzo yanayotegewa toka katika matunda 34200@ tsh 3000
205200000
tsh
GHARAMA
TSH
1. Mbegu, kutoka east west seed company mbegu 80 ni tsh 2500, kwa hiyo mbegu 11400*2?
712500
tsh
2. Gharama ya kulima shamba na kuandaa matuta
400000
tsh
3. Mbolea ya kupandia DAP mifuko 6, maana kila shina linahitaji gram 5, so kwa mashimo 11400*2?
390000
tsh
4. Booster kama Polycoffee/Polyfeed kilo 2 inatosha
20000
TSH
5. Mbolea ya kukuzia kama Urea Mifuko 6@ tsh 70000
420000
tsh
6. Gharama ya Madawa lita 2 ya Phyrinex/ Dursaban
50000
tsh
7. Gharma ya matandazwa/Mulching
200000
tsh
8. Gharama ya vibarua 2 kwa siku 90 kila mmoja 3000tsh Kwa siku
1080000
tsh
9. Gharama ya usafiri Fuso 4@ 600,000 tsh
2400000
tsh
10.Gharma ya miundo mbinu ya maji
1000000
tsh
11.Mafuta lita 10 kila siku, kwa siku 90, kila lita 2500
tsh
2250000
tsh
Jumla ndogo
8922500
tsh
tsh
JUMLA KUU YA GHARAMA
8922500
tsh
FAIDA KAMILI (JUMLA YA MAUZO -JUMLA YA GHARAMA)
196,277,500.00
tsh

Mm nakupongeza kwa atleast kuja na mchanganuo wa agrobusiness yako.Numbers speak a lot. Mm sijawahi lima Kigoma kwa hiyo hizo gharama siwezi kukubishia though naamini sipo juu sana
Pia Upandaji huo wa tikiti ni wa karibu sana sidhani kama ni sahihi.Standard ni 2mx2m.Kwa hiyo hayo makadirio ni ya juu sana.
Bei hiyo ya mauzo naashauri ungepunguza expectations.

Assuming hujaandikiwa tuu huu mchanganuo,ww huhitaji msaada kama already una 4m ya mtaji. Lima nusu eka. Kwa mujibu wa mchanganuo wako gharama zitakuwa chini ya ya 2.5m na mauzo yatakuwa zaidi ya 50m.
 
Ndugu yangu kama garama zingekuwa kubwa hivi wakulima wasingekuwepo huu mchanfanuo umeufanya kishule shule zaidi na sio kuhalisia .
Kiuhalisia garama ya eka 2 ni laki sita tu hadi unavuna.ukiondoa garama za usafirishaji hadi sokoni kwani unaweza kuuzuia shambani.
Mimi nimelima eka 1 Ruvu nimetumia laki 3 ila ya mvua za masika
 
Kila mdau amemshauri hivyo, aanze na alichonacho. Labour yeye mwenyewe, nusu eka ukijipanga wiki mdogo mdogo unatengeneza matuta. Mtaji utatosha akilima nusu eka, mimi ndio maana sitaki kuandikiwa business plan utabakia na great expectation na woga kuanza kisa ulichonacho hakitoshi. Mwaka ndo huo umefika nusu utajaitumia hela kwa mengine bure.
Mm nakupongeza kwa atleast kuja na mchanganuo wa agrobusiness yako.Numbers speak a lot. Mm sijawahi lima Kigoma kwa hiyo hizo gharama siwezi kukubishia though naamini sipo juu sana
Pia Upandaji huo wa tikiti ni wa karibu sana sidhani kama ni sahihi.Standard ni 2mx2m.Kwa hiyo hayo makadirio ni ya juu sana.
Bei hiyo ya mauzo naashauri ungepunguza expectations.

Assuming hujaandikiwa tuu huu mchanganuo,ww huhitaji msaada kama already una 4m ya mtaji. Lima nusu eka. Kwa mujibu wa mchanganuo wako gharama zitakuwa chini ya ya 2.5m na mauzo yatakuwa zaidi ya 50m.
 
Darasa tosha, barikiwa mkuu.

Back
Top Bottom