malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,780
- 2,716
Habari wakuu,
Mke wangu alibeba mimba mtoto akiwa na miaka 2na miezi 3. Sasa hivi mimba ya miezi 6 na mtoto ana Miaka 2 na miezi 8.
Sasa sijui kashauriwa na nani kuwa eti kambebea mtoto mimba akiwa mdogo haifai anatakiwa apewe uji lishe, nahisi kama anataka kutafuta madawa ya kienyeji maana nimemshauri vya kutosha kuwa hakuna uhusiano wowote wa mimba kubeba mtoto tayari ana miaka 2 na miezi kadhaa hiyo kubeba mimba iko sawa sawa kabisa lakini mke kawa mbishi kweli kweli.
Kaingia na gia ya uji lishe kwa mtoto wa miaka 2 na miezi 8 kwamba eti ndio kutatenganisha na mimba ila mi naona kama anadanganya kutaka kufanya dawa za kienyeji.
Wakuu, ni kweli mtoto wa miaka 2 na miezi 8 anahitaji kuendelea kupata uji lishe badalaa ya kujikita katika vyakula Bora?