Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,835
- 95,753
Unaweza kukuta we unamfananisha ila wala hamfanani,Ndiyo mkuu maana ni copy yangu kabisa hata ukimwona kwa picha. Shida ipo kwa mwanamke tu
Ila kwa hayo maelezo kuna uwezekano mtoto huyo ana baba mwingine na huenda huyo ndio baba halisi,
Halafu huyo mtoto inabidi mumfanyie uchunguzi wa kina, yani toka 2020 mpaka 2021 ameshalazwa mara 3?? Hili inabidi mjadiliane ili kuhakikisha afya ya mtoto inakaa sawa, na hii ni muhimu zaidi ya hayo mahusiano yenu,