Naomba ushauri: Mke wangu alinificha kwamba ameathirika

inamaana mkuu usijuekabisa hata kadi ya kliniki hukushika maana kama alihudhuria kliniki, sijui ila sina huo utaalam

Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
Kadi ya clinic nimeikagua hawakuandika kama ni muathirika but nilimuuliza kwa nini hawakuandika kwenye kadi alisema alipoanza clinic walimpima tena hakaonekana hana but mimba ilipofika miezi nane alipopima tena nfio VVU ikaonekana tena
 
Nimeishi na muathilika ambaye ni mwenza wangu ambaye naweza kusema ni mke wangu sababu nimeishi naye zaidi ya mwaka mmoja lakini kwa muda huo wote alikuwa akinificha kuwa yeye ni muathilika alikuwa akinywa dawa kimya kimya bila mimi kujua na kutokana na nature ya kazi yangu ya kusafiri safiri ilikuwa ni kazi kugundua lakini kuna siku moja nilikuta kuna ARVS kwenye mkoba wake nilipomuuliza aliniambia ni vya mdogo wake ambaye alikwisha niambia zamani kuwa mdogo wake huyo ni muathilika na mdogo wake ni mapepe sana kwa hiyo huwa anakwenda kumchukulia dawa panapobidi hapo niliamini itakuwa kweli lakini wanasema hakuna siri ya milele

Sasa leo nimejisikia homa na dizziness asubuhi nikaisi labda uchovu tu but hadi mchana naona bado hali ile ile ikabidi niende hospital kucheki hali nilipoenda kupima nikaambiwa sina ugonjwa wowote wakanipa dawa ya kutuliza maumivu niliporudi home nikamwambia hali halisi ya hospital yaani nimepimwa nimeambiwa sina ugonjwa wakati mimi bado najisikia homa ndio ikabidi aniambie kwamba yeye ni muathilika wa ukimwi since akiwa mdogo hadi leo ana miaka 24 anatumia dawa

Kwa kweli baada ya kuniambia hivyo nilijihisi kuchanganyikiwa nikarudi tena kupima HIV lakini majibu ya hospital nikaambia mimi niko negative yaani sina maambukizi na ukizingatia tayali tuna mtoto mdogo ana mwezi mmoja hapa namfikiria sana mwanangu bado mdogo na hii situation iliyopo nashindwa nifanye maamuzi magumu sababu huyu mwenzangu alidhamilia kabisa kuniambukiza but Mungu amenilinda.
Hapa ntaka kila mtu ashike njia yake je nitakuwa nimekosea kwa hili???
Usimuue huyo mwanamke wako bali kamshitaki polisi kwani ni muuaji
 
Unapanic Sana mzee baba, Kama anatumia dawa zake vzuri hawezi kukuambuza hata msipotumia Kinga. Intaitwa Undetectable = Untransmittable . Hii imethibitishwa kisayansi. Tuliza mnkali kwanza, alafu ndio ufanye maamuzi, hospitali tunajitahidi kuwaelimisha lakini hamtaki kuelewa.

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
 
Nimeishi na muathilika ambaye ni mwenza wangu ambaye naweza kusema ni mke wangu sababu nimeishi naye zaidi ya mwaka mmoja lakini kwa muda huo wote alikuwa akinificha kuwa yeye ni muathilika alikuwa akinywa dawa kimya kimya bila mimi kujua na kutokana na nature ya kazi yangu ya kusafiri safiri ilikuwa ni kazi kugundua lakini kuna siku moja nilikuta kuna ARVS kwenye mkoba wake nilipomuuliza aliniambia ni vya mdogo wake ambaye alikwisha niambia zamani kuwa mdogo wake huyo ni muathilika na mdogo wake ni mapepe sana kwa hiyo huwa anakwenda kumchukulia dawa panapobidi hapo niliamini itakuwa kweli lakini wanasema hakuna siri ya milele

Sasa leo nimejisikia homa na dizziness asubuhi nikaisi labda uchovu tu but hadi mchana naona bado hali ile ile ikabidi niende hospital kucheki hali nilipoenda kupima nikaambiwa sina ugonjwa wowote wakanipa dawa ya kutuliza maumivu niliporudi home nikamwambia hali halisi ya hospital yaani nimepimwa nimeambiwa sina ugonjwa wakati mimi bado najisikia homa ndio ikabidi aniambie kwamba yeye ni muathilika wa ukimwi since akiwa mdogo hadi leo ana miaka 24 anatumia dawa

Kwa kweli baada ya kuniambia hivyo nilijihisi kuchanganyikiwa nikarudi tena kupima HIV lakini majibu ya hospital nikaambia mimi niko negative yaani sina maambukizi na ukizingatia tayali tuna mtoto mdogo ana mwezi mmoja hapa namfikiria sana mwanangu bado mdogo na hii situation iliyopo nashindwa nifanye maamuzi magumu sababu huyu mwenzangu alidhamilia kabisa kuniambukiza but Mungu amenilinda.
Hapa ntaka kila mtu ashike njia yake je nitakuwa nimekosea kwa hili???
We mwenyew umeanza kumnyanyapa mke ambaye umezaa nae hadi mtoto, Jamii ikimnyanyapa Je ? . #STOP STIGMA

Sijamnyanyapaa yeye ndio alijinyanyapaa kwa kunificha mimi hali yake hadi alipoona na mimi na dalili za vvu ndio akaniambia ukweli wa hali yake
 
kama jina lake linaanzia na Q na mdogo wake linaanzia na D basi nawajua vizuri na ww pia nakujua vizuri mkuu.

Pole sana achana nae, hakuna upendo tena hapo
 
Nafikiri hicho kipimo ndio nilipima hospital ya kwanza maana sikijui
Si wanachukuwa damu wanaweka kama kwenye kichupa hivi then wanapeleka maabara??
Je ndio hicho??
Kitakuwa ni hicho. Ondoa hofu ukikaa tena Miezi 3 nenda ukapime tena. Waambie kabisa unataka wapime ELISA Test. Bado uko na huyo mwanamke? Ila ondoa hofu uko mzima kabisa.
 
Kama muathirika anatumia dozi vzr, viral load wanakuwa wako kidogo sana, na ia virusi wsnakuwa dormant, ni kama wanakuwa wamefubaa hivyo hata chances za kuambukiza zinakuwa ndogo sana, ndiyo maana hujaambukizwa..

Cha kufanya hapo kwa kuwa alikuficha, ina maana alifanya makusudi na najua alikuwa anawaza akilana na wewe kwa muda mrefu utaupata, na akasubiri mmezaa kabisa, ili apige ndege 2 kwa jiwe moja, basi hauna budi kuachana naye kabla majuto hayajawa makubwa, maana siku ukikutwa nao hamtakuwa sawa tena....

Mwambie akuambie status ya mtoto, kama anao ama laah. Kisha mumlee mtoto, ila nyie kila mtu achukue hamsini zake.

Kiufupi huyo ni muuaji, alikuwa anajijua ila akakuficha.
Wenye VVU wengi wana hii tabia ,wanatamani kumuambukiza kila mtu.
 
Kitakuwa ni hicho. Ondoa hofu ukikaa tena Miezi 3 nenda ukapime tena. Waambie kabisa unataka wapime ELISA Test. Bado uko na huyo mwanamke? Ila ondoa hofu uko mzima kabisa.
Hapana kwa sasa tumekaa chini tuangalie njia nzuri ya kumlea mtoto
 
Na leo alipoona ninaumwa but majibu ya hospital nikaambiwa sina ugonjwa ndio akajua tayali ameshaniambukiza ndio maana akafunguka.
Asante sana kwa ushauri wako
Huna mke hapo una muuaji tena muuaji wa kukusudia..
 
Nimeishi na muathilika ambaye ni mwenza wangu ambaye naweza kusema ni mke wangu sababu nimeishi naye zaidi ya mwaka mmoja lakini kwa muda huo wote alikuwa akinificha kuwa yeye ni muathilika alikuwa akinywa dawa kimya kimya bila mimi kujua na kutokana na nature ya kazi yangu ya kusafiri safiri ilikuwa ni kazi kugundua lakini kuna siku moja nilikuta kuna ARVS kwenye mkoba wake nilipomuuliza aliniambia ni vya mdogo wake ambaye alikwisha niambia zamani kuwa mdogo wake huyo ni muathilika na mdogo wake ni mapepe sana kwa hiyo huwa anakwenda kumchukulia dawa panapobidi hapo niliamini itakuwa kweli lakini wanasema hakuna siri ya milele

Sasa leo nimejisikia homa na dizziness asubuhi nikaisi labda uchovu tu but hadi mchana naona bado hali ile ile ikabidi niende hospital kucheki hali nilipoenda kupima nikaambiwa sina ugonjwa wowote wakanipa dawa ya kutuliza maumivu niliporudi home nikamwambia hali halisi ya hospital yaani nimepimwa nimeambiwa sina ugonjwa wakati mimi bado najisikia homa ndio ikabidi aniambie kwamba yeye ni muathilika wa ukimwi since akiwa mdogo hadi leo ana miaka 24 anatumia dawa

Kwa kweli baada ya kuniambia hivyo nilijihisi kuchanganyikiwa nikarudi tena kupima HIV lakini majibu ya hospital nikaambia mimi niko negative yaani sina maambukizi na ukizingatia tayali tuna mtoto mdogo ana mwezi mmoja hapa namfikiria sana mwanangu bado mdogo na hii situation iliyopo nashindwa nifanye maamuzi magumu sababu huyu mwenzangu alidhamilia kabisa kuniambukiza but Mungu amenilinda.
Hapa ntaka kila mtu ashike njia yake je nitakuwa nimekosea kwa hili???
hii stori ni ya uongo,hakuna mwanamke mwenye mimba ambae hapimwi ukimwi na ni lazima pia mume au mwenza wake apimwe,sasa wewe ulikuwa wapi walati mkeo anapimwa na ni lazima aliambiwa kuwa amlete mwenza wake.
 
Sijajua alikuwa anawaambia nini clinic but kama nilivyoeleza hapo juu mimi shughuli zangu nyingi ni za kusafiri safiri hata ninapokuwa hom ilikuwa issue ya kwenda clinic ananikwepa sana
Kwa hiyo sijui alikuwa anasemaje huko clinic.
Ila all in all kama wewe huamini basi sababu wapo walionipa ushauri mzuri hapo juu inatosha
 
Na leo alipoona ninaumwa but majibu ya hospital nikaambiwa sina ugonjwa ndio akajua tayali ameshaniambukiza ndio maana akafunguka.
Asante sana kwa ushauri wako
Kapime kwa kutumia PCR
 
Back
Top Bottom