KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 2,416
- 3,200
- Thread starter
- #121
Nimekuelewa mkuu ila nafasi aliyo nayo ni mzazi mwenzangu hilo sipingi imebaki kulea mtoyo basiKwanza nikutoe hofu
Ukiwa na maambukizi au ndugu yako akiwa na maambukiz sio ndo Muda wa kuishi ni mfupi hapana
Pia ukiwa na mwenza wako ana maambukizi sio uogope kuwa utaambuzwa Hapan akitumia dawa vizur na wingi wa vizur utashuka hvy Hawezi kukuambukiza
Kwanza nimpongeze shemej kwa kutokata tamaa wala kuchoka maan kwa maelezo yako umesema Alianza kutumia dawa tangu akiwa mdogo sana hvyo inawezekana alipata kwa mama mzazi kipindi yupo tumbon AMA wakati wa kunyonya na kwa nn ilipelekewa kuambukizwa yawezejakana mama yake ambaye ndo mkwe wako hakuwa anafatilia dawa au hakujigundua kama anamaambukizi hvyo ikipelekea na mkeo kuambukizwa
Ushauri:
Usimwache shemeji kwa tatizo la ugonjwa wa maambukizi ya ukimwi
Kinachotakiwa kumtia moyo maisha yasonge mbele unachotakiwa ni wew kuongeza juhudi ya kufatilia matibabu yake kwa karibu sana maan akitumia vizur mtoto wako hataambukizwa atakuwa salama kabsa nawe utakuwa salama .
Ushauri kwa Sisi sote tunaosoma Makala hii tupende kupima Afya juu ya ugonjwa wa ukimwi kujua hali zetu mapema maana
UKIAMUA KUPIMA AMA USIPOPIMA KAMA UNAO UNAO NA KAMA HAUNA HAUNA TU
ni Bora UPIME ujijue upo upande gan.
Pia sio kila mwenye ukimwi amepata kwa njia ya zinaa hapa (NGONO)
Unajua kwa mm ninavyojua kabla ya kumpenda mtu unaanza kumtamani then upendo unaingia wakati wa kumtamani huwa hatuangalii Tabia wala matatizo yake ya mwili huwa tunaanza kwanza na mwonekano mbalimbali kwa wanaume wengn tunapenda mweupe au wengne atakwambia napenda mane nk
So niendelee kusema tatizo la watanzania wenge tumekuwa na zana ya kuuogopa UKIMWI sana kama ndo ugonjwa hatar San kumbe sio akati Kuna magonjwa mke au mwenza akiwa nao ni shida sana mfano kansa ya kizazi ni ugonjwa unao uwa kina mama san kwanza hata mizagamuo hupati mama atakuwa anatoka damu kila wakati
Lakn weng huo hatuogop ila ukimwi
Tufike sehem tuache kuogopa ukimwi mtu awe kusema mm nina ukimwi na tusimwogope naming ukimwi utapotea kama ugonjwa wa Corona tulitolewa hofu kuwa Corona hamna na tuishi hvy
Tuambizane ukimwi upo lakn pima Jua hali yake tumia dawa kama unao
Angekuwa na wema na upendo kwangu kama angeniweka wazi toka mwanzo ila kwa nini anifiche???