NakaziaKataa ndoa waje kutia neno
Ndio nimepima hospital jana niko -veKwa maana hiyo mpaka Sasa pasi na shaka umeshajiridhisha uko -ve?
Nini kisababishi Cha homa na dizziness?
Na ukamuacha ndipo ugonjwa ukadhihiri itakuwaje?
Na kama hajaweza kukuambukiza mpaka Sasa inawezekanaje akaja kukuambukiza?
Haujakosea ndugu wala usijilaumu bali, sisi wafrika huwa tunaishi kwa kuaminiana na hatuna utaratibu wa kupima afya zetu.Kweli kabisa kabla ya kufanya maamuzi yoyote mkapime kwanza na hapo ndipo mimi nilipokosea
Hali ya mtoto vipi?Ndio nimepima hospital jana niko -ve
Na leo nimeenda naye kuthibisha hospital nyingine nimekutwa fresh ila kwa sababu tulienda wote nikapewa PEP nitumie siku 28 then niludi kuchek tena baaada ya hzo siku 28 kuisha.
Na hilo swali lako la mwisho wewe ungeweza kuendelea???
Kama anaupendo na ni mwaminifu unaendelea.Ndio nimepima hospital jana niko -ve
Na leo nimeenda naye kuthibisha hospital nyingine nimekutwa fresh ila kwa sababu tulienda wote nikapewa PEP nitumie siku 28 then niludi kuchek tena baaada ya hzo siku 28 kuisha.
Na hilo swali lako la mwisho wewe ungeweza kuendelea???
Asante sana mkuuMkuu kwanza pole sana kiakili nahis kama bado hujakaa sawa kwa TKO ulotaka kupigwa🤔cha kufanya pima zaidi ya mara tatu maeneo tofauti tofauti ukiona huna fanya kuhama mkoa kbs
🤔🤔🤔Mwaka mzima unaotmba hujapata aiseee wakamiaji tuna la kujifunza hapa
Asante sana mtoto ni mzima na amepewa dawa ya kuzuia maambukiziHaujakosea ndugu wala usijilaumu bali, sisi wafrika huwa tunaishi kwa kuaminiana na hatuna utaratibu wa kupima afya zetu.
Ushauri
Kama mtoto ni negative na wewe pia jaribu kukaa na mzazi mwenzako ili ajue umuhimu wa afya bora kwasababu kama alithubutu kuwa na wewe na ameathirika basi huenda km mtoto ni negative anaweza kumuambukiza ili muwe sawa.
- Nenda ukampime mtoto ujue hali yake. Hiyo ni damu yako
- Baada ya miezi 3 kapime ujue hali yako ila sasa kapime hospital km 3 hivi ujue hali yako.
Ni bora upate ukimwi kutokujua kuliko kupata ukimwi kwa kujua. Ugonjwa wowote ule hautakiwi uukubali
Ila pole sana
Mtoto mzima na amepewa dawa ya kupunguza uwezekano wa kuambukizwaHali ya mtoto vipi?
Kama mimi siwezi kuendelea naye. Unafikiri hata angekuwa huyo mke wako wewe umeathirika mkeo angekubali kuendelea na wewe? Hayupo mwanamke wa hivyo lbd km ameathirika na yeye.
Hapana labda angeniambia mapema hali yakeKama anaupendo na ni mwaminifu unaendelea.