Ngumu kumezaNimeishi na muathilika ambaye ni mwenza wangu ambaye naweza kusema ni mke wangu sababu nimeishi naye zaidi ya mwaka mmoja lakini kwa muda huo wote alikuwa akinificha kuwa yeye ni muathilika alikuwa akinywa dawa kimya kimya bila mimi kujua na kutokana na nature ya kazi yangu ya kusafiri safiri ilikuwa ni kazi kugundua lakini kuna siku moja nilikuta kuna ARVS kwenye mkoba wake nilipomuuliza aliniambia ni vya mdogo wake ambaye alikwisha niambia zamani kuwa mdogo wake huyo ni muathilika na mdogo wake ni mapepe sana kwa hiyo huwa anakwenda kumchukulia dawa panapobidi hapo niliamini itakuwa kweli lakini wanasema hakuna siri ya milele
Sasa leo nimejisikia homa na dizziness asubuhi nikaisi labda uchovu tu but hadi mchana naona bado hali ile ile ikabidi niende hospital kucheki hali nilipoenda kupima nikaambiwa sina ugonjwa wowote wakanipa dawa ya kutuliza maumivu niliporudi home nikamwambia hali halisi ya hospital yaani nimepimwa nimeambiwa sina ugonjwa wakati mimi bado najisikia homa ndio ikabidi aniambie kwamba yeye ni muathilika wa ukimwi since akiwa mdogo hadi leo ana miaka 24 anatumia dawa
Kwa kweli baada ya kuniambia hivyo nilijihisi kuchanganyikiwa nikarudi tena kupima HIV lakini majibu ya hospital nikaambia mimi niko negative yaani sina maambukizi na ukizingatia tayali tuna mtoto mdogo ana mwezi mmoja hapa namfikiria sana mwanangu bado mdogo na hii situation iliyopo nashindwa nifanye maamuzi magumu sababu huyu mwenzangu alidhamilia kabisa kuniambukiza but Mungu amenilinda.
Hapa ntaka kila mtu ashike njia yake je nitakuwa nimekosea kwa hili???
Ukiweza kuzishinda tamaa za kimwili utayaepuka mengi sana hasa kwenye ishu nzima ya mapenziKweli kabisa ili kujilzisha unatakiwa kupima hata mara tatu before hamjakutana
Ila kinachotokea hapo katikati na tamaa za mwili ndio zinafanya tunafanya maamuzi ya haraka
Mission bado hiyo ..akapime tena after 3months hiyo homa haijaieleweka vizuriHahahahaha!!!!
Huyo eidha ana mapenzi mazito au ni assassin kwamba alitaka akupige shoti then mwisho wa siku ukigundua ni too late hivyo mbaki milele, sababu yeye hana pakwenda na wewe huna pakwenda, team moja milele mpaka motoni.
Anajua asingekuwa na ubavu wa kumuacha tena, bahati mbaya mission failed.
Unaomba ushauri tena?😂, Zaa nae mtoto wa pili😂Nimeishi na muathilika ambaye ni mwenza wangu ambaye naweza kusema ni mke wangu sababu nimeishi naye zaidi ya mwaka mmoja lakini kwa muda huo wote alikuwa akinificha kuwa yeye ni muathilika alikuwa akinywa dawa kimya kimya bila mimi kujua na kutokana na nature ya kazi yangu ya kusafiri safiri ilikuwa ni kazi kugundua lakini kuna siku moja nilikuta kuna ARVS kwenye mkoba wake nilipomuuliza aliniambia ni vya mdogo wake ambaye alikwisha niambia zamani kuwa mdogo wake huyo ni muathilika na mdogo wake ni mapepe sana kwa hiyo huwa anakwenda kumchukulia dawa panapobidi hapo niliamini itakuwa kweli lakini wanasema hakuna siri ya milele
Sasa leo nimejisikia homa na dizziness asubuhi nikaisi labda uchovu tu but hadi mchana naona bado hali ile ile ikabidi niende hospital kucheki hali nilipoenda kupima nikaambiwa sina ugonjwa wowote wakanipa dawa ya kutuliza maumivu niliporudi home nikamwambia hali halisi ya hospital yaani nimepimwa nimeambiwa sina ugonjwa wakati mimi bado najisikia homa ndio ikabidi aniambie kwamba yeye ni muathilika wa ukimwi since akiwa mdogo hadi leo ana miaka 24 anatumia dawa
Kwa kweli baada ya kuniambia hivyo nilijihisi kuchanganyikiwa nikarudi tena kupima HIV lakini majibu ya hospital nikaambia mimi niko negative yaani sina maambukizi na ukizingatia tayali tuna mtoto mdogo ana mwezi mmoja hapa namfikiria sana mwanangu bado mdogo na hii situation iliyopo nashindwa nifanye maamuzi magumu sababu huyu mwenzangu alidhamilia kabisa kuniambukiza but Mungu amenilinda.
Hapa ntaka kila mtu ashike njia yake je nitakuwa nimekosea kwa hili???
Kweli chief nakubaliana na weweUnaomba ushauri tena?😂, Zaa nae mtoto wa pili😂
We ushajua ni muathirika, alikuficha toka mwanzoni, huyo hakuwa na nia njema.
Baki na mtoto, au unasubiri wale wazee wa ushauri wa viral load inashuka ukiwa unatumia ARV😂, achana na huo ujinga, tembea mbele usigeuke nyuma.
Tena ungeupata ndipo angekugeuzia kibao umemuambukiza, kaka hii dunia uwe na roho ngumu na maamuzi.
Duuuh! kinachopoteza umuhimu wa kuoa,kimojawapo ni hicho,yaani umeoa,lakini wahuni wanakuchapia mke,ukipita kitaa wanakuona bonge la boya,halafu eti unasikia eti MWANAMKE ISHI NAE KWA AKILI,yaani eti huyu anayeonekana mjingamjinga,anagongewa mke hovyo,ndiye anaonekana ana akili,aisee,anyway nirudi kwenye mada,mleta mada,mkeo yawezekana mkeo alikua kakuficha kua ni mgonjwa,ila akawa anakulinda kwa kuzingatia kunywa dawa ipasavyo,ili usiambukizwe.Kaeni chini muangalie namna bora ya kumlea mwanenu,na muamue kwa pamoja kama muendelee kuishi separately au muishi tu pamoja,though kuishi pamoja,hutakua na amani, kwasababu utakua na hofu ya kyambukizwa hata kwa bahati mbaya.Huwa najisikia sana nikiwa narudi nyumbani weekend asubuhi, kwanza hakuna wa kuniuliza.
Nakula nitakachojisikia, mchana naweza lala siku nzima, nikihitaji kuchakata nachakata ni simu moja tu.
Suala la watoto ni mipango.
Ndoa ni utapeli na kupeana stress. Tena wake za watu wanachakatwa kinoma 😂, oya sio poa .
Ndoa ilikua zamani, sasa hivi hawa wanawake wa ulimwengu wa Artificial Intelligence na tiktok hakuna ndoa😂😂😂
Ndoa ni kukaribisha maradhi 😂😂😂😂
Unakaa kitaa kumbe mkeo kachakatwa na wahuni kitaa, ukipita wanakuchora tu. 😂 😂 😂 .
Tena nyie mliopanga uswahilini, ngoja niishie hapa😂😂😂
Asante sana kwa ushauriDuuuh! kinachopoteza umuhimu wa kuoa,kimojawapo ni hicho,yaani umeoa,lakini wahuni wanakuchapia mke,ukipita kitaa wanakuona bonge la boya,halafu eti unasikia eti MWANAMKE ISHI NAE KWA AKILI,yaani eti huyu anayeonekana mjingamjinga,anagongewa mke hovyo,ndiye anaonekana ana akili,aisee,anyway nirudi kwenye mada,mleta mada,mkeo yawezekana mkeo alikua kakuficha kua ni mgonjwa,ila akawa anakulinda kwa kuzingatia kunywa dawa ipasavyo,ili usiambukizwe.Kaeni chini muangalie namna bora ya kumlea mwanenu,na muamue kwa pamoja kama muendelee kuishi separately au muishi tu pamoja,though kuishi pamoja,hutakua na amani, kwasababu utakua na hofu ya kyambukizwa hata kwa bahati mbaya.
Nimekuelewa sana mkuuMtu anaetumia ARVs Kwa ushahihi haambukizi HIV Kwa asilimia nyingi mno na hasa kama unamuandaa vzr wakati wa sex na watoto mnapata vzr tu , ila Sasa baada ya kujua status ndio balaa linapoanzia Nina uhakika hata hamu ya kumsogelea huna! Nendeni Kwa washauri nasaha watawapa namna Bora ya kuishi , ukimuacha unaweza kumletea msongo mkubwa wa mawazo na akakatisha umri wake, ila hizo dawa Huwa zinafika muda zinadunda na muathirika ataanza kuugua Figo, ini nk mwisho atafariki na kama ana miaka zaidi ya 20 anatumia hizo dawa muda sio mrefu ataanza kuugua magonjwa yasioeleweka na anaweza kufa ghafla! Ukisikia matatizo ya Dunia ndio hayo mkuu , Mimi hapa ushauri wangu mkae myajenge na mkeo na mridhiane pande zote mbili namna ya kuishi na kuleo kiumbe hicho, Kwa Sasa hakuna Tena kulaumiana maana lawama hazisaidii hapa ni namna ya kutatua tatizo