NGERESHAA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,299
- 1,809
Kuna jamaa ni Mtoto wa mchungaji akapenda binti kanisani kumbe yule binti ni +
Binti kumbe alikuwa anamoenda Sana mshikaji akauchuna wameoana fresh baadae mimba ikatoka ,tena akajifungua Mtoto mfu jamaa kufwatilia kwa Dctor tatizo Doctor naya akijua jamaa anajua akawa anampa ushauri .
Wee kiliwaka vikao vikaanza jamaa anataka amwache ,kwenda kupima naye tayari +
Wakamtuliza binti akasema historia yake kumbe alizaliwa navyo na alikuwa anampenda Sana jamaa .
Hivi wanaishi pamoja ila jamaa demu yoyote asijichanganye anaye
Anaudhuriaga kwenye sehemu na kumbi za starehe au Mabaa na hoteli anaanza muudumu mmoja baada ya mmoja mpaka watakapo stuka .
Anatumia vinyaji Baridi pombe hagusi ni mkimya Sana na pesa ipo hivyo wananasa kweli na anaafya nzuri tuu.
Yaani ni hatari na nusu .