Hakudhamiria maana kama muathirika akianza kunywa dawa posibility ya kukuambukiza ni 0 sema alihofia ungechabganyikiwa kama ulivyochanganyikiwa sasa..Nimeishi na muathilika ambaye ni mwenza wangu ambaye naweza kusema ni mke wangu sababu nimeishi naye zaidi ya mwaka mmoja lakini kwa muda huo wote alikuwa akinificha kuwa yeye ni muathilika alikuwa akinywa dawa kimya kimya bila mimi kujua na kutokana na nature ya kazi yangu ya kusafiri safiri ilikuwa ni kazi kugundua lakini kuna siku moja nilikuta kuna ARVS kwenye mkoba wake nilipomuuliza aliniambia ni vya mdogo wake ambaye alikwisha niambia zamani kuwa mdogo wake huyo ni muathilika na mdogo wake ni mapepe sana kwa hiyo huwa anakwenda kumchukulia dawa panapobidi hapo niliamini itakuwa kweli lakini wanasema hakuna siri ya milele
Sasa leo nimejisikia homa na dizziness asubuhi nikaisi labda uchovu tu but hadi mchana naona bado hali ile ile ikabidi niende hospital kucheki hali nilipoenda kupima nikaambiwa sina ugonjwa wowote wakanipa dawa ya kutuliza maumivu niliporudi home nikamwambia hali halisi ya hospital yaani nimepimwa nimeambiwa sina ugonjwa wakati mimi bado najisikia homa ndio ikabidi aniambie kwamba yeye ni muathilika wa ukimwi since akiwa mdogo hadi leo ana miaka 24 anatumia dawa
Kwa kweli baada ya kuniambia hivyo nilijihisi kuchanganyikiwa nikarudi tena kupima HIV lakini majibu ya hospital nikaambia mimi niko negative yaani sina maambukizi na ukizingatia tayali tuna mtoto mdogo ana mwezi mmoja hapa namfikiria sana mwanangu bado mdogo na hii situation iliyopo nashindwa nifanye maamuzi magumu sababu huyu mwenzangu alidhamilia kabisa kuniambukiza but Mungu amenilinda.
Hapa ntaka kila mtu ashike njia yake je nitakuwa nimekosea kwa hili???
Asante sana kwa ushauriNi hivi;
Kama umeenda kupima na hauna chochote na baada ya kurudi ukamueleza hali halisi lkn akaropoka kukujulisha kuwa kwamba yeye ni muathirika, tambua Mungu kakuepusha na janga ambalo isingekuwa rahisi kwa akili ya kawaida kuligundua.
Nini cha kufanya?.
Unapaswa kuachana na huyo mkeo ila tu ni kuangalia namna gani nzuri ya kulea mtoto wenu. Utakapoendelea kuwa naye halafu akaja kukuambukiza, hapo ndipo utakuja kuharibu mustakabali mzima wa maisha yake. Kufupisha story ni kwamba unaishi na bomu ambalo muda wowote linaweza kulipuka chumbani kwako na likateketeza kila kitu chako!.
Wote mna makosa,kosa lako wewe ni kumuamini sana mpaka mmezaa mtoto bila kupima,ina maana hata clinic wakati wa ujauzito ulikua unamkimbia anaenda pekeake(hii ni kawaida kwa wanaume wenye wasiwasi na afya zao hutelekeza wake zao waende clinic wenyewe kukwepa kupima vvu),kosa lake yeye ni kutokuweka wazi hali yake na huenda aliogopa kukupoteza.Kimsingi kuishi na mwenza aliye na maambukizi na usipate vvu inawezekana kama ni mtumiaji mzuri wa dawa maana viral load huwa ndogo sana kukuambukiza na ndio maana mmekaa mda wote mpaka mmezaa na upo fresh.Fanya urudi kupima baada ya mwezi au miezi miwili,pia zingatia usalama wakati wa tendo tumia kinga au kama una ujasiri wa kwenda bila kinga make her wet enough kabla hujaterezaNimeishi na muathilika ambaye ni mwenza wangu ambaye naweza kusema ni mke wangu sababu nimeishi naye zaidi ya mwaka mmoja lakini kwa muda huo wote alikuwa akinificha kuwa yeye ni muathilika alikuwa akinywa dawa kimya kimya bila mimi kujua na kutokana na nature ya kazi yangu ya kusafiri safiri ilikuwa ni kazi kugundua lakini kuna siku moja nilikuta kuna ARVS kwenye mkoba wake nilipomuuliza aliniambia ni vya mdogo wake ambaye alikwisha niambia zamani kuwa mdogo wake huyo ni muathilika na mdogo wake ni mapepe sana kwa hiyo huwa anakwenda kumchukulia dawa panapobidi hapo niliamini itakuwa kweli lakini wanasema hakuna siri ya milele
Sasa leo nimejisikia homa na dizziness asubuhi nikaisi labda uchovu tu but hadi mchana naona bado hali ile ile ikabidi niende hospital kucheki hali nilipoenda kupima nikaambiwa sina ugonjwa wowote wakanipa dawa ya kutuliza maumivu niliporudi home nikamwambia hali halisi ya hospital yaani nimepimwa nimeambiwa sina ugonjwa wakati mimi bado najisikia homa ndio ikabidi aniambie kwamba yeye ni muathilika wa ukimwi since akiwa mdogo hadi leo ana miaka 24 anatumia dawa
Kwa kweli baada ya kuniambia hivyo nilijihisi kuchanganyikiwa nikarudi tena kupima HIV lakini majibu ya hospital nikaambia mimi niko negative yaani sina maambukizi na ukizingatia tayali tuna mtoto mdogo ana mwezi mmoja hapa namfikiria sana mwanangu bado mdogo na hii situation iliyopo nashindwa nifanye maamuzi magumu sababu huyu mwenzangu alidhamilia kabisa kuniambukiza but Mungu amenilinda.
Hapa ntaka kila mtu ashike njia yake je nitakuwa nimekosea kwa hili???
Kabisa. Uko sahihi sana. Huyo alidhamiria na ni muuaji. Ni kuachana nae harakaKama muathirika anatumia dozi vzr, viral load wanakuwa wako kidogo sana, na ia virusi wsnakuwa dormant, ni kama wanakuwa wamefubaa hivyo hata chances za kuambukiza zinakuwa ndogo sana, ndiyo maana hujaambukizwa..
Cha kufanya hapo kwa kuwa alikuficha, ina maana alifanya makusudi na najua alikuwa anawaza akilana na wewe kwa muda mrefu utaupata, na akasubiri mmezaa kabisa, ili apige ndege 2 kwa jiwe moja, basi hauna budi kuachana naye kabla majuto hayajawa makubwa, maana siku ukikutwa nao hamtakuwa sawa tena....
Mwambie akuambie status ya mtoto, kama anao ama laah. Kisha mumlee mtoto, ila nyie kila mtu achukue hamsini zake.
Kiufupi huyo ni muuaji, alikuwa anajijua ila akakuficha.
Ushimen kamaliza , fuata huo ushauri.Nimekuelewa sana mkuu
Asante sana kwa ushauri mzuri
Fuata ushauri huu hapaKama muathirika anatumia dozi vzr, viral load wanakuwa wako kidogo sana, na ia virusi wsnakuwa dormant, ni kama wanakuwa wamefubaa hivyo hata chances za kuambukiza zinakuwa ndogo sana, ndiyo maana hujaambukizwa..
Cha kufanya hapo kwa kuwa alikuficha, ina maana alifanya makusudi na najua alikuwa anawaza akilana na wewe kwa muda mrefu utaupata, na akasubiri mmezaa kabisa, ili apige ndege 2 kwa jiwe moja, basi hauna budi kuachana naye kabla majuto hayajawa makubwa, maana siku ukikutwa nao hamtakuwa sawa tena....
Mwambie akuambie status ya mtoto, kama anao ama laah. Kisha mumlee mtoto, ila nyie kila mtu achukue hamsini zake.
Kiufupi huyo ni muuaji, alikuwa anajijua ila akakuficha.
Unajua kwa mm ninavyojua kabla ya kumpenda mtu unaanza kumtamani then upendo unaingia wakati wa kumtamani huwa hatuangalii Tabia wala matatizo yake ya mwili huwa tunaanza kwanza na mwonekano mbalimbali kwa wanaume wengn tunapenda mweupe au wengne atakwambia napenda mane nkKweli kabisa kabla ya kufanya maamuzi yoyote mkapime kwanza na hapo ndipo mimi nilipokosea
Akiachane Naye ukimwi ndo utakuwa umeisha anajuaje huyoo mwingne atakaye mpata kama hatakuwa naoHuyo mwanamke ni shetani, achana nae