Sijui utachukuliaje nikikuuliza hili swali, je utachukulia nimeamua kutupia misamiati ili kupoteza au sijui utachukuliaje?
Je unaifahamu elimu ya relativity? unafahamu 'with respect to' inamaanishaga nn? Inamaanisha kulingana na muktadha fulani, kulingana na watu fulani etc
Kingine unafahamu kama wewe ni mungu 'with respect to' wewe na seli zako? Seli zako zikiongea zitasema huyu mtu hana mwanzo wala mwisho, sisi tunakufa ila yeye yupo milele. Zikijua kuna Yesu zitasema huyu mtu ndio mwanzo na mwisho wetu ila kuna Yesu yeye ni milele na milele. Zikijua kuna Mungu zitasemaje milele square? [Kikwao haina utofauti kiperception] Zikijua kuna watu wengine zitasema hawana mwanzo wala mwisho haimaanishi kwamba na wao hao watu ni mungu wao hapana! Wewe ndio utabaki kuwa mungu wao with respect to your cells. Na hao labda seli zitasema ni wasaidizi wa mungu wetu, au rafiki zake lakini woooote ni Wana wa Mungu mmoja wenye kazi na majukumu tofautitofauti.
Ntasema Melchizedek ni kiumbe wa Mungu mwenye majukumu fulani, huoni aliumbwa na Mungu lakini tumeandika hana mwanzo wala mwisho? ...... mwanzo na mwisho with respect to sisi watu. Relativity. Na hata hivyo sio sahihi mojakwa moja maana mambo ya time yapo sananana kwenye hizi physical beings zaidi. We huoni ndotoni unaweza kuishi hata miaka ishirini katika masaa matatu ya ndoto?
Wewe una vision yako ya mambo yalivyo mi yangu imekaa hivi
Uhalali wa wazo la Mungu kibaiolojia, analojia