Naomba ushauri kuhusu dini

Naomba ushauri kuhusu dini

Yesu pekee ndiye anajua. Kwa sababu ni Mungu then anajua kuliko wanadamu wote. Na kwa sababu aliuvaa mwili ni Mungu pekee anayejua matatizo yetu kwa experience.

Na kwa sababu alikufa akafufuka anaweza kutuambia kifo kikoje, kwa experience kabisa na kufufuka kukoje. Kwa kuwa ni Mungu na Mwanadamu vyote kwa 100% anaweza kutupa experience ya mwanadamu kuishi mbinguni.

Kuu kuliko yote kwa sababu alikufa kulipa deni ya hatia yetu basi anaweza kutusamehw deni zetu kama tukimwendea kwa imani.

Hakuna Mungu aliyelipa deni za wanadamu isipokuwa Yesu pekee!

Yesu alikwambia wapi kuwa mimi nimelipa deni la wanadamu ??
 
Afadhali brother umekuja. Huyu hapa Jagina nakukabidhi mchukue. Mimi amenishinda tabia.

Anapenda sana vifungu nadhani mtaelewana vizuri zaidi

Umekimbia ????

Sijakuuliza habari ya nyanya sokoni , tunaongelea biblia Na swali ni jee wewe unaziamini zote ni maneno ya Mungu?
 
Cheka zaidi , unajifanya kama hujui kuwa biblia ya

King James Version

New King James version

New International version

Revised Standard version

American Standard version

NK Hizi ni biblia tofauti wala si moja ??????

Hivi unaelewa maana ya Version ???
Hizo ni translation ,zinazotumika kwenye biblia ni translation kutoka lugha ya asili kwenda kingereza au lugha nyingine ,

Ficha upumbavu wako mbele za watu , biblia kwa lugha yake ya mwanzo ipo kama unataka link nakupa usome

Koran Kuna translation zaidi ya 10 na zote zipo tofauti
Ndio nimekupa mfano leo jibril alishuka kwa Muhammad na kamba ila hakuna translation hata moja imesema ukweli
 
Koran Kuna translation zaidi ya 10 na zote zipo tofautisha ,
Ndio nimekupa mfano leo jibril alishuka kwa Muhammad na kamba ila hakuna translation hata moja imesema ukweli

Unajua maana ya version ???

Nakusaidia

Translation vs Version - What's the difference?
 
Unajua maana ya version ???
Version inayotumika kwenye biblia maana yake ni translation ,

Na translation kwenye biblia zinaenda na wakati kulingana na maneno yanavyobadilika maana ,

Ndio maana nimekwambia lugha ya asili ya biblia ipo mpaka leo na unaweza soma na ku translate mwenyewe , tena sio lugha original matini zina miaka ma elfu zipo
 
Hizo ni translation ,zinazotumika kwenye biblia ni translation kutoka lugha ya asili kwenda kingereza au lugha nyingine ,

Ficha upumbavu wako mbele za watu , biblia kwa lugha yake ya mwanzo ipo kama unataka link nakupa usome

Koran Kuna translation zaidi ya 10 na zote zipo tofauti
Ndio nimekupa mfano leo jibril alishuka kwa Muhammad na kamba ila hakuna translation hata moja imesema ukweli

Ngoja kesho nikujie na translation za Koran zilivyo tofauti mpaka utastuka , lingine mabano mengi mpaka unasema Allah alisahau hayo maneno kwenye mabano , kumbuka Koran ikisha weka mabano Jua hayapo kwenye lugha ya mwanzo
 
Sawasawa uje Na versions tofauti za qurani Kama zipo

Inaelekea hujaangalia hii clip kwani naona bado hujaelewa tofauti ya version Na translation

Sawasawa uje Na versions tofauti za qurani Kama zipo

Inaelekea hujaangalia hii clip kwani naona bado hujaelewa tofauti ya version Na translation

Huyo jamaa ni muongo nameshaangalia clip zake nyingi
 
Huyo jamaa ni muongo nameshaangalia clip zake nyingi

Weka ushahidi wa maneno yako!!!!!!!!

Yaani wewe unajua zaidi kuliko huyo Pastor professor Mzungu kwenye hiyo debate?

Ahadi yako uliyotoa jana hujaitimiza
 
Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaidi ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya Kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mkristo mama yangu ndiyo Muislam.

Bahati mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielewi kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasababu dini ya Kiislam naijua nimesoma madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zamani nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.

Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipendi kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumbani na natumia maji ya baraka wakati mwingi nahisi kabisa yananisaidia, halafu nikiwa kanisani nina amani zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubiri ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumbani redio nasikiliza redio Maria tu na naifurahia.

Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sasa hivi ndiyo nazidi kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu natamani waanze mafundisho, au kuna sehemu sijielewi?
ulipoandika tu "kuruani" na kuhusu kusoma uislamu na hakuna mtu anakwambia kitu nikajua tu wewe ni paulo au magdalena umekaa hapo baada ya kushiba chai nzito ya maziwa ya mbuzi na viazi mbatata ukaamua tu kuchafua hali ya hewa .

Hebu mkuu kama wewe ni muislamu hebu thibitisha hapa kwamba wewe ni muislamu au uniambie kuna rakaa ngapi kwenye ku stanji na sajda ngapi kwenye kuchukua wudhu .
 
Nimeingia hiyo Link , nimekuta biblia chache Tu Na nimekuuliza

Tuanzie Na King James Version

Hii biblia iliandikwa mwaka gani Na wapi ?
Ipo original language na translation zaidi ya 20 , imeanza NIV mpaka OJB

KJV -The King James Version, -is an English translation of the Christian Bible for the Church of England, 1611
 
Ipo original language na translation zaidi ya 20 , imeanza NIV mpaka OJB

KJV -The King James Version, -is an English translation of the Christian Bible for the Church of England, 1611

Biblia ya KJV ilianza 1611 Kama ulivyoandika Sasa niambie ilikuwaje ikaanza mwaka huo Na ilikuwa ni tafsiri ya biblia ipi?
 
Back
Top Bottom