Leo usiku ilinitokea hali ya kukabwa na jinamizi

Wakufoji

Senior Member
Joined
Jan 15, 2019
Posts
198
Reaction score
386
Ni baada ya usingizi kukata nikabadili mkao wa kulala kwa kusogeza kichwa na shingo juu ya mto.

Baada ya kupitiwa na usingizi tena ndani ya dakika kadhaa.

Ghafla nikaona kunamwanga amepitisha mkono ndani ya shuka akaniwekea shingoni mkono wake akawa ananikaba bila kutumia nguvu kubwa.

Nikawa najaribu kuamka ili nijinasue ila na shindwa nikaishia kufurukuta tu huku nikiwa na hofu kubwa sana

Nikawa najiuliza maswali kwanini mchawi anikabe wakati nili sali ? . Tena nili sali mara mbili kwa usiku mmoja kabla na baada ya kushtuka.

{ Kwa hofu nikawza au hua na sali kimakosa ? Maana mimi sina dini naiombaga roho yangu mwenyewe }.

Nikarudia kusali upya !

Muda huo bado jinamizi limenishika.

Baada ya kusali tena ndipo nikashtuka na kuamka. Ila baada ya kuamka nikajua tu nilijibana shingo kisa kuhegamia mto.

Lakini kilicho nitoa hofu tayari nilikua naelimu ya hali hiyo nilichofanya kikajiweka vizuri nikalala tena.

{ Huenda kwa mtu asiye ijua hali hiyo angeamini kua alikabwa kweli }

✍️
 
mda huo bado jinamizi limenishika.

Pole sana mkuu
 
Afadhali kwa kuwa unauelewa wa hicho kitu
 
Back
Top Bottom