Naomba ushauri kuhusu dini

Naomba ushauri kuhusu dini

Mimi nimekurahisishia kazi wewe nenda katafute hizi katika nukuu nilizokuwekea

Ita vyovyote copy au kopia lakini ukweli ndio huo

(The Holman Illustrated Study Bible, ISBN: 978-1-58640-275-4, Gospel of John, Page1540)"

(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
Hizo ni translation kijana weka akili kichwani , biblia kwa lugha yake ya mwanzo ipo tena original matini kabisa nakala za miaka maelfu
 
Bado unaleta utata Allah anamtaja mwenyezi Mungu huyu anajitenganisha naye wazi kabisa

Sasa huyu Yeye ni nani Allah anaongea alafu anataja yeye anakuwa anamtaja nani?

Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,

Alafu Aya ya mwanzo mmetengeneza haipo kwenye koran

Mbona unatoka out of contex kwa nguvu , kwani hapo mwanzo aya zimeanza kumzungumza nani ,

mbona unajifanya huelewi kiswahili ??
 
Hizo ni translation kijana weka akili kichwani , biblia wa lugha yake ya mwanzo ipo tena original matini kabisa nakala za miaka maelfu

kwani biblia lugha yake ya mwanzo ni ipi ???
 
Mbona unatoka out of contex kwa nguvu , kwani hapo mwanzo aya zimeanza kumzungumza nani ,

mbona unajifanya huelewi kiswahili ??
Allah mwanzoa anataja mwenyezi Mungu kwa Nini hajitaji mwenyewe anae ongea hapo ni nani?

Huyu ni Allah alafu anasema kwa jina la mwenyeezi Mungu 😂😂😂😂😂😂
Kwa jina Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu.

Vinamsabihi Mwenyezi Mungu vilivyo katika mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
 
Kumbukumbu la torati 18:18 linasema

"Mimi (Mwenyezi Mungu) nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe (Musa), nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru.'

hayo ni maneno ya Allah
 
Mbona unakimbia , Wapi yesu alisema mimi ni wa mwanzo na wa mwisho ??
Mokiti anakupa vifungu hapa kila sekunde ina maana humuoni, mi nikitakiwa kueleza hicho kitu ntasema;

With respect to us earthlings Yesu ndio wa mwanzo na wa mwisho. Yaani kwa sisi hapa wa levo ya chini, yesu ndio wa mwanzo na wa mwisho. Tena hii sentensi mbona mngeichangamkia ninyi kusema kwamba kwa kuwa Mungu mwenyewe hana mwanzo wala mwisho ndio maana ni tofauti na Mwanae ambaye ana mwanzo na mwisho....... Kumbuka mambo ya mwanzo na mwisho ni kwa ajili ya walioumbwa, Muumbaji yupo nje ya muda mambo ya kusema mwanzo na mwisho hayana maana kwa Mungu.

Lakini sasa make no mistake, kutokana na udogo wetu mdooooogo sana na muda wetu mdogo sana. Tukiutazama muda anaoishi Yesu kwetu ni 'milele', ukienda zaidi kwa Baba ni 'milele na milele'. It makes no conceivable difference to us finite mortals[with potential to imortality] earthlings

Fikiria hata kuumbwa kwetu sisi wa chini ni Neno yaani Yesu ndiye aliyelifanikisha hilo lakini wakati wote huo anayoyatenda ni mapenzi ya Mungu Baba. Umeona sasa uhusiano wetu na Yesu?
 
Kwani Nani kakukataza kuleta video ??? au umekazania Na yule mwanaharamu asiyeingia katika ufalme wa Mungu Kama biblia inavyosema
Open Up, it's Jesus, si ndio avatar yako? Sasa unachopingapinga humu ni nini juu ya Yesu na huku umebandika ujumbe unaomhusu kwenye avatar yako 😂😂😂 sio kituko kweli wewe?
 
Jibu kirahisi usiweke maelezo kama mashairi

Na utuambie huyu Yeye anaetajwa na Allah ni nani

Allah anasema Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,

Simple mtaje huyo yeye Allah anaemtaja ni nani, kumbuka mnatuambia Koran ni maneno Allah anatamka
Jibu maswali ninayo kuuliza.
 
Umefikiri kwa usahihi kabisa kuingia katika ukristo ndio njia sahihi ya kukufikisha peponi lakin thehebu ulillo chagua si sahihi tena thehebu hilo la roma linaweza kukufanya urud tena kwenye uislam na hasa ukisoma vizuri na kwa umakini mno biblia utakutana na matendo tofauti kati kinacho sema biblia na kinacho tendwa kanisani utofauti huo unaweza kukufanya ukate tamaa lakini ukristo ndio njia sahihi na si uroma maana wengi huwa wanachanganya kudhani uroma ndio ukristo wanasahau uroman ni dhehebu ndani ya ukristo ukitafakari kwa kina biblia na quran utafundua kuwa uislam ni dini ilio jengwa hasa kwenye matendo ya mwili na si roho na kitakacho mfikisha mtu peponi ni imani sahihi rohoni na matendo sahihi mwilini ,uislam ni dini inayomwongoza mtu kwa shetani kwa mgongo wa kumtaja MUNGU laki haimwongozi mtu kwa MUNGU wa kweli wa Mbinguni na jua waislamu wengi watachukia lakini ukweli ni huo na ikiwa mtapenda wanyeni utafiti kwa kusoma vitabu vya hadithi vya kiislam someni history ya uislam ndani ya waandishi wa kiislam na nje ya waandishi wa kiislam halafu linganisha utapata ukweli hiv mpaka leo hii uislam unalindwa kwa jihad tu la sivyo ungerikuwa umepotea
 
Allah mwanzoa anataja mwenyezi Mungu kwa Nini hajitaji mwenyewe anae ongea hapo ni nani?

Huyu ni Allah alafu anasema kwa jina la mwenyeezi Mungu
Kwa jina Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu.

Vinamsabihi Mwenyezi Mungu vilivyo katika mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

Haha na kuna Aya nyingi anatumia neno sisi ikiwa yeye ni mmoja kwanini asitumie neno mimi na kuna aya anaapa kwa jua yaani jua aumbe mwenyewe halafu liwe kiapo chake yaani leo Rais Samia aunde kikosi kazi halafu aape kwa kikosi kazi
 
Mokiti anakupa vifungu hapa kila sekunde ina maana humuoni, mi nikitakiwa kueleza hicho kitu ntasema;

With respect to us earthlings Yesu ndio wa mwanzo na wa mwisho. Yaani kwa sisi hapa wa levo ya chini, yesu ndio wa mwanzo na wa mwisho. Tena hii sentensi mbona mngeichangamkia ninyi kusema kwamba kwa kuwa Mungu mwenyewe hana mwanzo wala mwisho ndio maana ni tofauti na Mwanae ambaye ana mwanzo na mwisho....... Kumbuka mambo ya mwanzo na mwisho ni kwa ajili ya walioumbwa, Muumbaji yupo nje ya muda mambo ya kusema mwanzo na mwisho hayana maana kwa Mungu.

Lakini sasa make no mistake, kutokana na udogo wetu mdooooogo sana na muda wetu mdogo sana. Tukiutazama muda anaoishi Yesu kwetu ni 'milele', ukienda zaidi kwa Baba ni 'milele na milele'. It makes no conceivable difference to us finite mortals[with potential to imortality] earthlings

Fikiria hata kuumbwa kwetu sisi wa chini ni Neno yaani Yesu ndiye aliyelifanikisha hilo lakini wakati wote huo anayoyatenda ni mapenzi ya Mungu Baba. Umeona sasa uhusiano wetu na Yesu?

huyu kiumbe naye utasema yeye ni zaidi ya huyo Yesu ??

Melchizedek

For this Melchizedek, king of Salem, priest of the Most High God, who met Abraham returning from the slaughter of the king s and blessed him, to whom also Abraham gave a tenth part of all, first being translated “king of righteousness,” and then also king of Salem, meaning “king of peace,” without father, without mother, without genealogy, having neither beginning of days nor end of life, but made like the Son of God, remains a priest continually
(7:1–3).
 
Haha na kuna Aya nyingi anatumia neno sisi ikiwa yeye ni mmoja kwanini asitumie neno mimi na kuna aya anaapa kwa jua yaani jua aumbe mwenyewe halafu liwe kiapo chake yaani leo Rais Samia aunde kikosi kazi halafu aape kwa kikosi kazi

Hii ni topic peke yake , hata hivyo huyu Mungu wa biblia hapa amefanya kitu gani ??

Amos 8:7 (ESV)

7 The Lord has sworn by the pride of Jacob: “Surely I will never forget any of their deeds.
 
Open Up, it's Jesus, si ndio avatar yako? Sasa unachopingapinga humu ni nini juu ya Yesu na huku umebandika ujumbe unaomhusu kwenye avatar yako 😂😂😂 sio kituko kweli wewe?

Nani alikuambia hiyo avatar ni Jesus?
 
Back
Top Bottom