Kwani hiyo picha uliikariri?
Hapana niligoogle. Oookay ngoja nirudie kufanya hivyo[nigoogle] ila nyingine ntaangalizia humuhumu kwa majibishano ya Kisai na Mokiti
0.
Yn 1:18 SUV
Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua
Huku kutufunulia sisi ni kutuonesha baadhi ya sifa kuu za Mungu ambazo ni Upendo, Rehema, Ukweli, Uhai etc
0b"Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu. Mimi ni mzabibu, ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana, maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lolote, mtu asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi na kunyauka, watu huyakusanya na kuyatupa motoni yakateketea, ninyi mkikaa ndani yangu,na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa. Yn 15:4-7
0c
Yn 14:20 SUV
Siku ile ninyi mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.
0d
Neither the Quran nor the Hadith tell us why it’s Isa who will judge, yet the Quran says that Isa Al-Masih will be the sign of the judgment.
“And (Jesus ) shall be a Sign (for the coming of) the Hour (of Judgment)…” (Qs 43:61).
However, the Bible says clearly that God gave the authority to judge to Isa
“…the Father [God]
judges no one. Instead, he has given the Son [Kalimat Allah, Isa Al-Masih]
absolute authority to judge” (Injil, John 5:22). Why?
“. . . that all may honor the Son, just as they honor the Father. Whoever does not honor the Son does not honor the Father who sent him” (Injil, John 5:24).
1.
"Allah Anatutajia tena sifa nyingine ya Mungu
Allah anasema kuna Mungu ambae Yeye ni mwanzo na mwisho
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Yesu anajitaja mwenyewe ndie Mwanzo na Mwisho
Rev 22:12. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.” . Sasa ili kuelewa ni kwa nini sifa zinafanana kimuonekano ndiyo ni sababu ipo kama hivyo kwenye jani.
2
Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi
Mungu ndiye Wa Kweli,....
Yesu anatoa jibu John 14: 6
Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na
ukweli na uhai. Mtu haji kwa Baba ila kupitia kwangu.
Kivipi? - Angalia jani
3.
Allah anasema Mung ni mwanga Koran 24:35.
Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “
Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Kivipi - angalia jani kupata picha