meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 489
- 1,196
@Empress_sheila just so you know safari yako haitakua rahisi hata kidogo , as you can see comments nyingi za lawama, vitisho na kejeli lakini sauti ya Mungu ni kubwa kuliko yote hayo.Kwenye Biblia Yona aliitwa na Mungu akaokoe watu wa Ninawi lakini hakutaka kufuata sauti ya Mungu badala yake akapanda Meli kwenda Tarshishi ili asitii agizo lq Mungu lakini meli aliyopanda ilipata mawimbi sana hadi alipojitokeza akajisalimisha walivyomtupa baharini meli ikatulia na akamezwa na samaki akakaa kwa siku 3 tumboni kwa samaki akisali hadi samaki akamtapika kwenye ufukwe wa mji ule ule aliokua hautaki.....akafanya kazi aliyotumwa na kusudi la Mungu kikatimia.
Nimejikuta na relate habari yako na kisa cha Yona, inawezekana msukumo ulionao ni Mungu ameweka ndani yako ili akutumie kwa jambo fulani kudhihirisha ukuu wake, Inawezekana Mungu anataka akakutumie maisha yako yawe ushuhuda kwa wengine. Kuna maneno yanasema "God does not call the qualified but he qualifies the called " ....Mimi nakuombea kusudi la Mungu litimie kwako na akutumie vile anavyotaka.
Natamani sana sana uje utupe ushuhuda siku moja Empress_sheila
Hata Daudi alipingwa mnoooo na kaka zake hadi wakamuuza nchi ya mbali na wakadanganya wazazi kwamba amekufa ila bado haikuzima kusudi la.Mungu juu yake.........
Kama unapenda movie angalia God Calling (netflix) nigerian movie nzuri sana