Huwa nacheka sana unapo andika ujinga kama huu. Hiyo ndiyo fasihi ya Qur'aan ndiyo maana hukuti kosa mpaka kesho.Alie andika Koran alikuwa anasahau ku switch kutoka first person kwenda third person Biblia Haina ujinga kama huo
Mtume alikuwa analetewa aya na Malaika, na yeye Malaika anazitoa katika ubao ulio hifadhi mambo.
Kwa maana ya kuwa ni mtume anasema yale aliyo yasema Allah bila kupunguza wala kuzidisha.
Kujichanganya kwa Biblia ni pakubwa sana angalia tu mfano hapo anapojichanganya kwamba yeye alfa na omega halafu muda huo huo ametumwa na Mola...?
Nimeona kabisa kijana kumbe husomi maandiko yenu, haya tusome hapa :Unaona utafauti Allah anasema Mungu ndie kweli anajisahau yeye ndio anatakiwa kuwa Mungu, biblia unaona wazi Yesu anasema Mimi ni kweli na uhai, kama Allah alikuwa anaongea na muhammad anabadili hilo ni tatizo lingine kubwa
10. Tena akaniambia, “Usiyafiche kama siri maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, maana wakati wa kutimizwa kwake umekaribia.
11. Kwa sasa anayetenda mabaya na aendelee kutenda mabaya, na aliye mchafu aendelee kuwa mchafu. Mwenye kutenda mema na azidi kutenda mema, na aliye mtakatifu na azidi kuwa mtakatifu.”
12. “Sikiliza!” Asema Yesu, “Naja upesi pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake.
13. Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”
Safi hapo unasema amesema Yesu, tuambie mstari wa 10 anakudiwa nani ?
Kingine maneno hayo anayasema nani toka kwa nani yaani akinukuu toka kwa nani ?
Mstari wa 12 nani anawapa habari wenzake. Kwa unavyotaka wewe hapo ilitakiwa isomeke, "Sikiliza, naja upesi pamoja na tuzo...".
Ndiyo maana mnasema Yesu ni mungu, yaani wajinga mpaka mnauzidi ujinga wenyewe.
Sasa hiki si ni sawa na hicho alichosema huyu :Alah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
Tena akaniambia, “Usiyafiche kama siri maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, maana wakati wa kutimizwa kwake umekaribia.
11. Kwa sasa anayetenda mabaya na aendelee kutenda mabaya, na aliye mchafu aendelee kuwa mchafu. Mwenye kutenda mema na azidi kutenda mema, na aliye mtakatifu na azidi kuwa mtakatifu.”
12. “Sikiliza!” Asema Yesu, “Naja upesi pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake.
13. Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”
Au huoni tofauti ?
Maana yake hapo kuna mnukuzi na kuna aliye yasema hayo maneno. Mtume ananukuu, sasa sijui ulitaka asemaje na maneno hayo si ya Mtume ?
