Naomba ushauri kuhusu dini

Kanisa ni Moja Takatifu Katoliki la mitume.Wewe si wakwanza mkuu.Wapo Watakatifu wengi waliosikia sauti ya ndani kama yako wakaongoka. Mtakatifu Paulo Mtume Mtakatifu Augustino Watakatifu Fransisco wa asizi n.k Karibu sana katika Dini ya kweli yenye mafundisho ya kweli aliyoiacha Yesu Kristu mwenyewe.Roho Mtakatifu akuongoze
 
Point nilitaka kuweka ni mwanga Allah anasema Mungu ni mwanga Yesu anajitaja na Kujidhihirisha Yeyes ni mwanga kipi kinakushinda kuelewa? nipo

Allah anasema Mung ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Vipi ulishapata MABWANA uliokuwa unawatafuta??


Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar
 
Kwa hakika ndivyo lilivyo kwa hoja kuu mbili
1. Kuombewa/kupata msaada kwa asiyekuwa Mola Mlezi na kusadikisha hilo [msaada namaanisha jama uponyaji, kinga, riziki, kuabudu n.k] kunamtoa mtu kwenye Uislam hata kama Ataitwa Abdallah, Mariam, akagunga na mfano wa hayo LABDA ATUBIE TOBA YA KWELI
2. Mwenye kujifananisha na kundi, jamii kwenye masuala ya kiibada base huyu yuko pamoja nao

Duh! Sikua najua hilo
 
Point za mwanga na kweli allah kasha thibitisha Kasema Mungu ni mwanga na Mungu ni Kweli

Sasa hapa allah Anatutajia tena sifa nyingine ya Mungu
Allah anasema kuna Mungu ambae Yeye ni mwanzo na mwisho
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,

Yesu anajitaja mwenyewe ndie Mwanzo na Mwisho
Rev 22:12. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”
 
Umesema umesoma uislam na unauelewa vizuri!? Sijui umeusoma kwa kiasi gani, nashauri ungesoma ukristo nao vizuri halafu ndio uamue…..fuata akili yako inavyokutuma jiamini na unachoamua.Kumshauri mtu imani ni jambo gumu maana wengi wetu tunatetea pande zetu
 
Pamoja mkuu.
 
Allah anaongea alafu ana refer kwa Mungu kweli ni muujiza ,

Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....

Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
Naona ushaishiwa cha kuandika. Sasa nitakuuliza ni mungu gani anaye rejelewa hapo ? Unafikiri hiyo ni Biblia ambayo ni zao la mwanadamu ?

Yaani Qur'aan ni maneno ya Allah, anaye yatamka ni Mtume, ndiyo inakuwa katika sura ya namna hiyo.
 
Jibu swali nililo kuuliza, mwanga wa Yesu ni nini kwa mujibu wa Yesu mwenyewe.

Safi kabisa usisahau mstari wa kumi katika huo ufunuo wa Yohana, ule mstari wa uzao wa Daudi, maaa yake Yesu ni binadamu. Sasa labda ukiri hapa maandiko yenu ya uongo na yanapingana kwa uwazi.
 
Allah anaongea alafu ana refer kwa Mungu kweli ni muujiza ,

Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....

Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
Sasa hapo ajabu iko wapi ? Hayo ni maneno ya Allah mtume ana yanukuu kama yalivyo ndiyo maana yanakuwa katika hiyo sura.

Kijana jena hoja za maana huku n kujichoresha.
 
Sio JF tu. Hata huko kwa wenzetu mambo ni hayo hayo. Angalia mfano wa huyu binti mdogo anamuuliza baba yake na jibu linalotoka

Your browser is not able to display this video.
 
Sasa hapo ajabu iko wapi ? Hayo ni maneno ya Allah mtume ana yanukuu kama yalivyo ndiyo maana yanakuwa katika hiyo sura.

Kijana jena hoja za maana huku n kujichoresha.
Kwa nini Allah kuna mda anasahau kumwambia muhammad sema , huku kuongea kwa allah na kutaja mungu mwingine ni muujiza

Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
 
Tunaendelea na nondo hilo la mwanga tumeshamaliza na Allah alishakujibu sasa kama hujapenda maelezo ya Allah sijui nikusaidieje


Allah Anatutajia tena sifa nyingine ya Mungu
Allah anasema kuna Mungu ambae Yeye ni mwanzo na mwisho
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,

Yesu anajitaja mwenyewe ndie Mwanzo na Mwisho
Rev 22:12. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”
 
kanisa katoliki, sio takatifu, na sio la mitume. unaweza kuchukua kanisa katoliki ukalinganisha na kanisa la mitume la kitabu ya Matendo? lile wameanzisha kina Petro? hili lenu limechuja.

Kanisa la Mitume:-
1. waliomba na kunena kwa lugha, katoliki wanapinga kunena kwa lugha na nguvu za Roho Mtakatifu, wanasema mapepo.
2. wale waliponya wagonjwa kwa Jina la Yesu, katiliki hawaponyi hat aukucha tu.
3. wale hawakuwa walevi, katiliki wamebariki unywaji wa vileo, mapadre na maaskofu wamejaza bia kwao.
4. wale walihubiri wokovu, katoliki hawabuhiri wokovu.
5. wale walikemea ushoga (Rumi 1:26-27), papa amelegeza masharti, muda si mrefu mtakuwa supporter wa mashoga.

tueleze, kanisa hili ni la mitume? au ni la waroma (falme ya Rumi iliyomuua Yesu).
 
1Timothy 3:16 And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh, justified in the Spirit, seen of angels,.........

Ulitaka hiyo flesh itoke kwenye uzao wa wapi?
nimekwambia unaposoma ukristo ukiweka nature ya mungu wako huwezi elewa Jehovah ni Roho hiyo ndio nature yake , Allah nature yake ni physical being creature hana uwezo wa ku manifest in flesh
 
Niongee na Mokiti na Kisai hivi kuna mmoja wenu amewahi kujifunza kuhusu fractal Geometry? Nataka kutumia analojia yake kuonesha asili ya mnachobishania
Ukitazama ki sura na umbo hako kajani kamoja pembeni kanafanana kabisa na katawi kote kalivyokaa.

Kutokana na Yesu kuwa Mwana wa Mungu basi amezibeba sifa zile za Mungu ndio maana kuna baadhi ya watu wanashindwa kutofautisha vizuri.

Kitawi kikisema kwa seli mimi ndio ninawapa, maji, chakula na uhai, hata kijani pia kwa seli ndicho kinawapa maji, chakula na uhai wao! Umeona?

Kwa analojia seli zilizopo katika kajani kamoja zinaona hako kajani kama ndio kila kitu kwake na zinakatumikia. Ila kwa kutumikia hako kajani ndio hivyo zinalitumikia tawi zima na kuutumikia mmea mzima na mmea mzima ni mapenzi yake kabisa seli zitumikiane na kuzitambua mamlaka zilizo juu yake. Kajani na kitawi ni mmoja ila kuna kajani na kuna kitawi. Kajani[mwana] ndio njia pekee ya kuelekea kwa tawi zima[baba]. Jani na tawi hata siku moja havipingani ki matakwa ni 'kitu kimoja'

Sasa kwa kuwa seli ni ndogo sana kajani kwake kanaonekana ni kitu kuuubwa sana[infinity] kiasi kwamba wakiambiwa kuna tawi kubwa zaidi[infinity infinity] wanakubali na wanaelewa. By the way for all intents and purpose wakimuangalia jani wanapata sura halisi ya tawi na mmea ulivyo kisifa wanazoweza kuzielewa wao finite cells.

Kwa hiyo kwa level yetu ndogondogo ndogo sana Yesu ni Mungu[infinity] (Hata hivyo neno zuri tungetumia kusema YESU NI MMOJA NA MUNGU kuepusha tafrani) hamna kitu hakipo chini yake katika ulimwengu huu. Lakini sasa huyo Yesu yumo ndani ya Mungu tena infinity,infinity,infinity. Sisi tulio wadogo hatutenganishi kiuelewa infinity yoyote ile. Na we can do just fine hata tukiishia kuelewa level yetu mradi tufanye kitu ambacho kina uelekeo mwema kwa seli, mwema kwa kijani, mwema kwa kitawi na mmea mzima!
 

Nimeedit kuonesha nilichoeleza juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…