Naomba ushauri kuhusu dini

Naomba ushauri kuhusu dini

Swali lipo palepale weka andiko Muhammad akisema yeye ni kweli na uhai embu jibu kama huna jibu kiri tuendelee na mengine

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
Sito kwamba yeye alikuwa mkweli bali alikuwa mkweli na muaminifu na hili pia walilishuhudia maadui zake. Sasa utaona lipi zito halo kati ya kujishuhudia mwenyewe au wale walio kupiga vita wakakiri ya kuwa weww ni mkweli na muaminifu.

Naanzia hapa :

Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alipapanda juu ya jabali Swafaa akawaita watu wake na kuwaambia: "Enyi Maquraysh (na riwaayah nyingine enyi Banuu Manaaf, Enyi Banuu fulani na fulani). Je, ikiwa nitawaambieni kuwa wapanda farasi wapo nyuma ya jabali hili wakijitayarisha kukushambulieni, mtanisadiki?" Wote kwa pamoja wakamjibu:

"Bila shaka tutakusadiki, kwa sababu hatujapata kusikia kutoka kwako isipokuwa maneno ya kweli." Akasema: "Basi mimi ni mwonyaji kwenu juu ya adhabu kali iliyo mbele yenu. Okoeni nafsi zenu kutokana na moto…" [Al-Bukhaariy, Muslim na wengineo kwa riwaayah tofauti]

Kisha naendela na hapa :

Hii ni kauli ya Abu Jahl, huyu alikuwa akimpinga Mtume, lakini alikiri juu ya ukweli na uaminifu wa Mtume.

“Wa-Allaahi mimi najua vilivyo kuwa yeye ni Mkweli….Tulikuwa tukimwita katika ujana wake Asw-Swaadiq Al-Amiyn.” (Mkweli Mwaminifu). [Tafsiyr Al-Qurtwubiy]

Kisha narudi hapa :

Na yule aliyekuja na ukweli na wakausadikisha - hao ndio wenye taqwa. [Az-Zumar: 33]

Amesema Mujaahid na Qataadah na wengineo kuhusu: “Na yule aliyekuja na ukweli” “Huyo ni Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)” [Tafsiyr Ibn Kathiyr]

Misho wa kunukuu.

Nakukumbusha maswali yangu :

1. Yesu ni njia, je ni njia ya kuelekea wapi ?

2. Mwanga wa Yesu ni upi ?

3. Kwanimi Yesukila jambo alikuwa analielekeza kwa Mola muumba ?
 
Mbona majibu ya Allah yapo wazi nini usichoelewa au hupendi majibu ya Allah
Allah anasema
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anasema
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Kwenye Qur'aan hilo liko wazi. Nakuiliza wewe ambaye unalazimisha mfanano wa Yesu na Allah, ndiyo utuambie Yesu huo mwanga wake ni upi ?

Sababu kila andiko Yesu analirudisha kwa Mola wake aliye mtuma. Sasa tuambie Yesu alimaanisha nini kusema yeye ni mwanga na yeye ni uzima ? Nataka utupe maana aliyo itoa Yesu mwenyewe.
 
Aya umeweka kwamba muhammad yale aliyoleta ndio kweli tofautisha na Yesu kasema yeye ndio kweli yenyewe , Yesu ndio njia ya Kwenda mbinguni lazima umfuate yeye na kweli ilikuwa sifa yake ya kiungu

Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....

Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
 
Allah anamtaja Mwenyezi Mungu ni mwanga , jibu ndio hili na lipo wazi
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Aya umeweka kwamba muhammad yale aliyoleta ndio kweli tofautisha na Yesu kasema yeye ndio kweli yenyewe , Yesu ndio njia ya Kwenda mbinguni lazima umfuate yeye na kweli ilikuwa sifa yake ya kiungu

Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....

Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
Kijana hivi mfano Yesu aliposema yeye ni Njia ina maana alimaanisha yeye ni mungu ?

Kijana usikate andiko alisema hivi kwa ukamilifu :

, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu. "

Hapo mitume wote huwa hawesemi uongo, na kweli ni ile aliyo tumwa na Mola. Sasa vipi mtume aseme ukweli halafu asiwe mkweli ? Aliitwa mkweli na muaminifu sababu alikuja na ile kweli toka kwa Allah.
 
Allah anamtaja Mwenyezi Mungu ni mwanga , jibu ndio hili na lipo wazi
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Allah anamtaja Mwenyezi mungu ndiyo nini ?

Nimekuuliza swali rahisi, maana ya Yesu kuwa ni mwanga ni nini kwa mujibu wake Ywsu yeye mwenyewe. Nasubiri jibu hapa.
 
Kama ulivyo sema umri ...naamini kwa umri uliyo nao ni dhahiri unafanya kitu ukiwa na utimamu wa akili nakushauri amani ya moyo ni kila kitu kama moyoni una amani fanya kile unacho jiskia usiwaze watu watakuchukuliaje
 
Kijana hivi mfano Yesu aliposema yeye ni Njia ina maana alimaanisha yeye ni mungu ?

Kijana usikate andiko alisema hivi kwa ukamilifu :

, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu. "

Hapo mitume wote huwa hawesemi uongo, na kweli ni ile aliyo tumwa na Mola. Sasa vipi mtume aseme ukweli halafu asiwe mkweli ? Aliitwa mkweli na muaminifu sababu alikuja na ile kweli toka kwa Allah.
Allah ankujibu
Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....

Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
 
Allah anamtaja Mwenyezi Mungu ni mwanga , jibu ndio hili na lipo wazi
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Kingine nilikuuliza kwanini Yesu kila analosema analorudisha kwa yule aliye mtuma ? Yeye kama ni mungu kwanini asinge sema tu mimi nimesema hivi, akamaliza.
 
Kajishusha??? Tuhuma hizi ni world wide. World wide ndugu na ni kama mila pale katoliki. Kuhusu maustazi hawa wa mwendokasi ni ujinga tu uliopo hapa bongo lakini sio world wide issue
Upo serious ama? Unataka kusema maustazi wanaobaka wapo limited kwa Tanzania pekee?
 
Allah ankujibu
Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....

Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
Kisha Yesu akamaliziaje kwenye hilo andiko ? Jiulize kwanini kwanini hakuishia hapo ulipoishia wewe ?
 
Allah anamtaja Mwenyezi mungu ndiyo nini ?

Nimekuuliza swali rahisi, maana ya Yesu kuwa ni mwanga ni nini kwa mujibu wake Ywsu yeye mwenyewe. Nasubiri jibu hapa.
Kwa hiyo hutaki tena majibu ya Allah
Allah anasema Mung ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaidi ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya Kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mkristo mama yangu ndiyo Muislam.

Bahati mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielewi kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasababu dini ya Kiislam naijua nimesoma madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zamani nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.

Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipendi kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumbani na natumia maji ya baraka wakati mwingi nahisi kabisa yananisaidia, halafu nikiwa kanisani nina amani zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubiri ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumbani redio nasikiliza redio Maria tu na naifurahia.

Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sasa hivi ndiyo nazidi kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu natamani waanze mafundisho, au kuna sehemu sijielewi?
Wewe haujasoma dini yani upo upo tu unafuata upepe

Quran inasema : Na anaetaka dini isiyokuwa ya kiislam haitakubaliwa kwake
 
Allah ankujibu
Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....

Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
Kisha katika hiyo aya ya 62, Allah akasema haya :

22 : 62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli, na kwamba wale wanao waomba badala yake, ni baat'ili, na hakika Mwenyezi Mungu ndiye Aliye Juu na ndiye Mkubwa.

Mbona hujatuonyesha wapi Yesu akisema aabudiwe ? Hii ni maana ya kuwa Yesu si Mungu.

Sasa uwe unalinganisha maneno kwa ukamilifu.
 
Mimi naomba sasa hivi. Isikie dua yangu.

"Ewe mola wangu mlezi, nakuomba usiipoteze nafsi yangu baada ya kuwa umeiongoa. Nakuomba Mola wangu unijaalie yote yenye kheri nami hapa duniani, na unijaalie ya kheri baada ya kifo changu. Nakuomba Eee Mola wangu unikinge na adhabu za kaburi, unikinge na adhabu za siku ya malipo na unijaalie pepo yako tukufu. Eee mola wangu nakuomba unikinge na kila husda, chuki, uovu wa kila kiumbe, unikinge na ubaya wa binaadam, wanyama, wadudu, mashetani na majini"

Umeona mkuu ninavyoomba?? Mnakaririshwa sana tatizo ndugu zetu na kulishwa matango pori kuhusu Uislam.
Mimi sina dini kwa hiyo sijui nimekaririshwa nini!!! Anyways kuna mahala kwenye hii thread nimesoma ya kwamba mleta mada hata kiarabu hajui ndio maana nikauliza sala zenu zinasikika kwa Mungu kupitia lugha ipi.

Kama sala yako inasikika kwa lugha yoyote ile kuna ulazima upi wa kujua kiarabu? Pia hujajibu swali langu kuhusu kitabu chenu kitakatifu, kipo kwenye lugha ipi?
 
Kisha Yesu akamaliziaje kwenye hilo andiko ? Jiulize kwanini kwanini hakuishia hapo ulipoishia wewe ?
Nimeweka point ya Yesu Kuwa kweli na Imani Yetu ni Kwamba Kuna Mungu Baba , Mwana na Roho mtakatifu zote ni divine
Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....

Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

Yesu raha sana anajitaja kabisa , ila allah ana refer kwa Mungu yani ni yeye allah anaongea alafu anasema "Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli"
 
22 : 62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli, na kwamba wale wanao waomba badala yake, ni baat'ili, na hakika Mwenyezi Mungu ndiye Aliye Juu na ndiye Mkubwa.
Safi kabisa Allah anasema Mungu ndiye kweli

Yesu natoa jibu Yeye ndie kweli
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.
 
Kwa hiyo hutaki tena majibu ya Allah
Allah anasema Mung ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Kwa ukamilifu wa aya hiyo uko hivi :

35. Mwenyezi Mungu ni Nuru ya Mbingu na Ardhi. Mfano wa Nuru yake ni kama shubaka lenye kuwekwa ndani yake taa. Taa ile imo katika tungi. Tungi lile ni kama nyota inayo meremeta, inayo washwa kwa mafuta yanayo toka katika mti ulio barikiwa, mzaituni. Si wa mashariki wala magharibi. Yanakaribia mafuta yake kung'aa wenyewe ingawa moto haujayagusa - Nuru juu ya Nuru. Mwenyezi Mungu humwongoa kwenye Nuru yake amtakaye. Na Mwenyezi Mungu huwapigia watu mifano. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua kila kitu. (an-Nur : 35)

Nakataa vipi hali toka kwa Mola wangu, na huo Allah alitumia kama mfano. Ndiyo maana nataka uniambie maana ya Mwanga wa Yesu ni nini ? Sababu hiyo lugha ni ya mfano, sasa tuambie Yesu alimaanisha nini aliposema yeye ni Mwanga wa ardhini, nataka utuwekee andiko alilosema yeye mwenyewe akilitolea ufafanuzi.
 
Nimeweka point ya Yesu Kuwa kweli na Imani Yetu ni Kwamba Kuna Mungu Baba , Mwana na Roho mtakatifu zote ni divine
Allah anasema Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....

Yesu anatoa jibu John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

Yesu raha sana anajitaja kabisa , ila allah ana refer kwa Mungu yani ni yeye allah anaongea alafu anasema "Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli"
Haya ya mungu baba mnayasema nyinyi hajasema Yesu haya. Kwahiyo achana nalo hamuwezi kulitetea.

Nataka umalize andiko usilete dibaji za mungu baba wala mwana wala roho mtakatifu huu mlango unaoingia kaa ukijua huwezi kutoka.

Qur'aan ni muujiza kuanzia uandishi wake na maana zake, Mtume ndiyo ananukuu Qur'aan kwahiyo lazima aisome kama ilivyo kuja ndiyo maana kuna sehemu Qur'aan inamuweka sawa mtume na mfano wa hayo, kwahiyo inaonyesha wazi huijui Qur'aan.
 
Allah anaongea alafu ana refer kwa Mungu kweli ni muujiza ,

Back
Top Bottom