🤣 ndio maana mara nyingi nakufundisha usilete nature ya mungu wako allah ambae ni phyical kwa Mungu Jehova
Lakini unasema mimi ndiyo nachagua mistari na kujisahau wewe ulichokifanya. Katika huohuo ufunuo kuna mstari Yesu anasema yeye ni mzawa wa ukoo wa Daudi. Sasa kwa akili ya kawaida tu inathibitisha yeye ni mwanadamu, na kwa ujumla wake haya maneno si ya Yesu bali ya Yohana ndiyo maana yanajigonga pakubwa sana.
Nanukuu kile ulichokiacha :
“Mimi, Yesu, nimemtuma malaika wangu awathibitishieni mambo haya katika makanisa. Mimi ni mzawa wa ukoo wa Daudi. "
Ndiyo maana huwa sipendi kunukuu maandiko yenu yana uchafu mwingi sana.
Sababu maneno ya mitume hayagongani.
Yesu Mungu with human flesh ,sasa ulitaka asemeje kuhusu mwili alionao, alafu utuambie binadamu anakuwaje anamiliki malaika
