Naomba ushauri kuhusu dini

Naomba ushauri kuhusu dini

"na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma " Niliposoma huu mstari nikajua tu hii ni story ya kutunga tena imetungwa na Gorge Michael. Acha unafiki
 
Hivi unajisikiaje jitu zima kama ww kuja kuandika uongo kama huu tena ulio kosa ubunifu ili angalau watu wauamini?

Ebu tupe aya yeyote kwenye Qruan na utupe tafisiri yake kama kweli una elimu kuhusu uislam.

Au taja nguzo za Uislam.
Afadhali umegundua mapema mkuu
 
Typing error nimesharekebisha. Tunamuomba asiziache nafsi zetu kupotea baada ya kuamini
Hakuna typing error Allah kasema wazi ndani ya Koran anaempotosha hakuna wakumsaidia ,
Sehemu nyingine anamgombeza Muhammad na kumwambia usijaribu kuwa ongoa aliowapotosha
 
Kingine Mungu si kama baaba yetu wala haiwezekani kuwa baba yetu, sababu kiuhalisia ubaba ni wa kinasaba na kimaana kadhalika.
Koran inayosema yenyewe ni mama unataka kutuambia lazima iwe na kinasaba , embu fungua akili na uelewe

Koran 43.4. Surely it is in the Mother Book with Us, exalted, firm, and decisive.

Acha mara moja kuhoji kitoto
 
Hakuna typing error Allah kasema wazi ndani ya Koran anaempotosha hakuna wakumsaidia ,
Sehemu nyingine anamgombeza Muhammad na kumwambia usijaribu kuwa ongoa aliowapotosha
Kwangu ilikua typing error na katika hilo kabda nikuelezr hivi , Allah kampa ufahamu kila mtu na akaweka njia mbili either ufwate aliyoamrisha na kuacha aliyoyakataza au uende kinyume. Pale utakapoacha na kwenda kinyume basi yeye atakuacha na ukifwata maamrisho hatokuacha. Ndio maana utaona mtu mwenye maasia mfano mlevi ni ngumu kwel kuacha kwani hana majuto ya dhambumi yake sana anajipa moyo inamuondolea stress nk lakin huyu ambae si mlevi akitumbukia kwenye madhambi anakua na majuto makubwa juu ya dhambi aliyofanya na hapa ndipo Allah anapokua nae na kumuongoza kwani anachukia kwa nini alimuasi Allah tofauto na huyu mwingine ambae ataanza kujitapa nilivopiga bia zangu mbili na ile ela ya kubet basi nikavuta demu nikamgonga mpaka asubuhi anasindikiza na tusi juu ya huyo demu alivyokua mkali. Unadhan Allah atashughulika na huyu ambae kwanza kapata pato haramu kwa njia ya kubet badala ya kutubu akenda kulewa dhambi ya pili ulevi kisha akavuta demu akagonga usiku kucha dhambi ya tatu kazini na bado aksindikizia
na tusi ile show anayoona ya kibabe alofanya dhambi ya nne matusi hakuna popote kwenye majuto au atashughulika na huyu ambae tamaa ya kimwili ilimshinda tu akaenda zini na baada ya hapo akajutia huku akitafta hata pakuficha uso wake mbele ya aliyemuumba kwa kosa alilofanya?
 
Mzee ushauri wangu ni fanya venye moyo wako unapenda...This is a free country..Ingekuwa Saudia hapa nisingekushauri kuacha uislam maana wangekunyonga.
Kwahiyo wewe fanya unachoona ni sahihi na moyo wako unaridhika, iwe ni msikitini au kanisani
 
Kwangu ilikua typing error na katika hilo kabda nikuelezr hivi , Allah kampa ufahamu kila mtu na akaweka njia mbili either ufwate aliyoamrisha na kuacha aliyoyakataza au uende kinyume. Pale utakapoacha na kwenda kinyume basi yeye atakuacha na ukifwata maamrisho hatokuacha. Ndio maana utaona mtu mwenye maasia mfano mlevi ni ngumu kwel kuacha kwani hana majuto ya dhambumi yake sana anajipa moyo inamuondolea stress nk lakin huyu ambae si mlevi akitumbukia kwenye madhambi anakua na majuto makubwa juu ya dhambi aliyofanya na hapa ndipo Allah anapokua nae na kumuongoza kwani anachukia kwa nini alimuasi Allah tofauto na huyu mwingine ambae ataanza kujitapa nilivopiga bia zangu mbili na ile ela ya kubet basi nikavuta demu nikamgonga mpaka asubuhi anasindikiza na tusi juu ya huyo demu alivyokua mkali. Unadhan Allah atashughulika na huyu ambae kwanza kapata pato haramu kwa njia ya kubet badala ya kutubu akenda kulewa dhambi ya pili ulevi kisha akavuta demu akagonga usiku kucha dhambi ya tatu kazini na bado aksindikizia
na tusi ile show anayoona ya kibabe alofanya dhambi ya nne matusi hakuna popote kwenye majuto au atashughulika na huyu ambae tamaa ya kimwili ilimshinda tu akaenda zini na baada ya hapo akajutia huku akitafta hata pakuficha uso wake mbele ya aliyemuumba kwa kosa alilofanya?
Ulicho andika mwanzo ndio ukweli , ila unachofanya sasa ni kutumia takiya baada ya kuona ukweli ulioandika unaleta shida na kumfanya Allah awe devil

Ila Allah anasema mwenyewe
Koran 17:97. Na anaye mhidi Allah basi huyo ndiye aliye hidika. Na anaye wapotoa basi huto wapatia walinzi badala yake
 
Na ndio maana niliyokupa
 
Hivi ukweli wa dini upo kwenye nini yani ni kitu gani kinakuwa ndio kipimo cha ukweli wa dini?

Ni miujiza? Ni amani ya moyo ukiwa kwenye hiyo dini? Au ni kitu gani?

Nani kawahi kujiuliza haya maswali?
 
Na ndio maana niliyokupa
Allah anajitaja yeye ndie anapoteza watu kwa kufanya wasiamini kabisa

Koran 6:125 Basi yule ambaye Allah .................,..... anaye taka apotee hukifanya kifua chake kina dhiki,
 
Kwanza nakupa pole sana, umesema umesoma madrasa na unaijua Dini ya kiislamu?kwa mtu anayeijua Dini ya Kiislam hawezi kuja kuomba msaada hapa jukwaani, naamini wewe ungekuwa msaada kwa wengine kuwaingiza kwenye Uisilamu.

Kama kweli ulichokifanya unakijua na malipo yako utakuwa unayajua baada ya kufa kaburini na siku ya kiaama.Kibaya zaidi unadiriki hata kuwapotosha watoto zako unawaingiza kwenye Ukafiri wakati wazazi wako wamekupa kheri zote? Nimejaribu kuandika lakini nashindwa kuuendelea, angalia wanaokupotosha wanakwambia Dini zote ni sawa,wapi na wapi? Nenda kwa wazazi wako ukawaambie kuhusu msimamo wako nazani watakusaidia zaidi
Dini za kutisha watu..eti kaburini kaburi la nyoko..acha watu waamue dini watakayo sali kwa imani..mana mpaka sasa hakuna aliyewahi kwenda mbinguni ama motoni akarudi zaidi ya story tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaid ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya Kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mktisto mama yangu ndiyo Muislam.

Bahati mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielew kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasabu dini ya Kiislam naijua nimesama madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zaman nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.

Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipend kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumban na natumia maji ya baraka wakat mwingi nahis kabisa yananisaidia, halaf nikiwa kanisani nina aman zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubir ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumban redio nasikiliza redio maria tu na naifurahia.

Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sahiv ndiyo nazid kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu nataman waanze mafundisho, au kuna sehem sijielewi?
Dini ya kweli ni upendo na Kanisa ni moja Katoliki na la mitume
 
Sasa hao waswahili unaowasema si walitoka Ethiopia wakiwa na dini safi,
Dini za kutisha watu..eti kaburini kaburi la nyoko..acha watu waamue dini watakayo sali kwa imani..mana mpaka sasa hakuna aliyewahi kwenda mbinguni ama motoni akarudi zaidi ya story tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ufinyu wa elimu yako ndivyo unavyokutuma hivyo, lakini si mda mrefu ukweli utaupata ukiwa unakutana na Mauti,wewe siyo wa kwanza walikuwepo wabishi zaidi yako
 
Koran inayosema yenyewe ni mama unataka kutuambia lazima iwe na kinasaba , embu fungua akili na uelewe

Koran 43.4. Surely it is in the Mother Book with Us, exalted, firm, and decisive.

Acha mara moja kuhoji kitoto
Kijana unatakiwa uwe umejipanga sana katika katika kujadiliana na mimi, hasa kuyajadili maandiko yetu.

Hii ni Qur'aan ila sifa hii haingii kwa Allah kimaana wala kinasaba, lakini ukienda na hoja hiyo, pia inathibitisha ya kuwa hayo mnayo yadai si sahihi.

Anasema Allah mtukufu :

43_4.gif

4. Na hakika hiyo imo katika Asili ya Maandiko yalioko kwetu, ni tukufu na yenye hikima. (az-Zukhruf : 4)

Hapo ina maana ya kuwa mama wa kitabu kwa maana ya asili wala si kwa nasaba wala kilugha.

Sasa turudi kwenye hoja yenu ya utatu, umwana wa Yesu kwa Mola ni upi ? Kama ni nafsi tatu katika umoja unafikiri ina maanishwa nini hapa ? Maana au nasaba ? Usikimbie swali hili.

Lakini kama Yesu ni mwana wa Mungu na sisi ni wana wa Mungu, vipi unakubali hilo ? Maana si kinasaba. Huwa nawaambia na nilishawahi kuwaambia hata mwanasumbi naye ni mwa au hata mwansoka naye ni mwana, hii ni kwa maana ya kuwa mwenye kujishughulisha sana na jambo fulani au fani fulani huitwa "mwana fulani". Sasa kama mnalijua hilo, basi utatu haupo hauna maana tena.
 
Mungu ndio kaamua mwenyewe ajidhiirishe kwetu kwa Baba , mwana na Roho mtakatifu , na hilo ni kwa sababu yeye ni muweza wa yote vitu unavyo ona haviwezekani kwake vinawezekana

Na unapomuongelea Mungu wa wakristo unatakiwa usiweke uelewa wako wa Allah

Allah ni physical being creature , amefungwa na vitu vingine hawezi fanya
Jehovah ni spirit

Allah hawezi kuvaa mwili, ila uwezo wake ni kubadili shape zake Yani unaweza muona yupo kama ngamia badae anakuwa kama sokwe
Na pia Allah aliweza kuwa mti na moto akaongea na musa muislamu
 
Allah anajitaja yeye ndie anapoteza watu kwa kufanya wasiamini kabisa

Koran 6:125 Basi yule ambaye Allah .................,..... anaye taka apotee hukifanya kifua chake kina dhiki,
Kama una elimu na unaitumia kwnye ligi sipo huko. Allah anajua yaliyomo vifuani mwetu
 
Kama una elimu na unaitumia kwnye ligi sipo huko. Allah anajua yaliyomo vifuani mwetu
Nilitaka nikuoneshe ni kweli ulivyo sema Allah anapotosha nafsi , na ulimuomba mwenyewe asikupotoshe nafsi yako
 
Back
Top Bottom