Msonjo na
KING KIGODA kuna mambo mengi tu ambayo hayawapaswi watoto. Lakini ukishakuwa mtu mzima unapaswa kuyaelewa. Acha watoto wadogo wapewe maziwa sisi tule hadi makande.
Mnaweza kuona hata wenyewe, ukweli wake pale ambapo kila maagizo yanapotoka kwa Mwenyezi Mungu yanakuja kwa wingi. Kwa nini msipinge hili?
Ndo maana nikasema tusimuweke Mungu kama 'concrete' being tumuache hivyohivyo kama Roho ama wazo 'abstract' being
Unajua katika mawazo hakunaga utofauti kama ni lengo moja? Nitatoa mfano.
Kama lengo ni kujenga bomu. Chochote kitakachowazwa kuhusiana na uelekeo wa kujenga bomu kinaangukia kwenye wazo lilelile moja. Ni wazo moja. Ila kikitokea kingine kikawazwa kikawa cha kubomoa huo mpango wa bomu ndio kitaitwa wazo tofauti wazo la pili. Ndio tutapata mawazo mawili 1. kujenga bomu 2. kuharibu/kutojenga bomu