Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,666
- 12,041
Mkuu umesema sahihi kabisa. Mimi huku ninahangaika na kesi iliyoamliwa kipumbavu na Mwenyekiti wa baraza la ardhi wilaya, eti ametoa mapendekezo hati yangu ifutwe. Nimeipeleka mahakama kuu, nina uhakika wa kushinda maana yule aliyeuziwa hicho kiwanja hana vielelezo vyovyote vinavyothibitisha kwamba aliyemwuzia ni mmilki halali wa kiwanja hicho. Na kosa kubwa kununua kiwanja kwa kusainishana na serikali ya mtaa tu bila kuwahusisha watu wa ardhi wala mwanasheria. Kwa kweli ndiyo maana watu wanafikia hatua ya kumiminia watu risasi! Niliomba sana Mungu anisaidie nisijekuwa na hasira na mwenyekiti wa baraza na wazee wake wa baraza, ningewaua!!Usinunue njia kwanza fuatilia ramani ya eneo husika mipango miji Kisha Kama Ni kweli eneo limerasimishwa lazima Kuna njia halafu UKINUNUA ARDHI ILIYOPIMWA AU KURASIMISHWA NI LAZIMA UKAANDIKISHANE KWA MWANA SHERIA ANAE TAMBULIKA TENA ILI KUTHIBITISHA UHALALI WA MWANASHERIA UNA GOOGLE ID YAKE!