Naomba ushauri, kila nikipanga mipango haitimii

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
6,402
2,000
Unagunduaje chanzo Cha tatizo Mana mambo aliyosema mleta uzi nami yananikabili ivyo ivyo. Na wasi wasi kama Kuna uchawi au ancestral energy
Unatafuta namba za simu za wataalamu watatu unawaelezea shida yako kisha wakuelezee chanzo cha tatizo.
Kila mmoja akishatoa majibu unalinganisha kama yanafanana.
Mwanzoni ukianza kuongea nao wakikwambia njoo tuongelee ofisini usikubali watakupiga pesa waambie umesafiri kisha mchat tu.
Gharama zao baadhi ni bure wengine watakwambia uchangie elfu 5 au elfu 10 tu.
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,975
2,000
ushauri wa kitaalamu hii hapaaa

1. usimwambie mtu yeyote jambo lako, hadi ulifanye, hataa demu wako piaa usimwambie keep your secret (Mungu anakupa wazo bila ya mtoto yoyote kujuaa, wewe unaendaa kuwaambiaa hao watu, basi Kwa hali hilo jambo nguvu yake itaishaa, next utaanza kusemaa unaligwaa, hapana unajilogaa

2. time, time, time ( things take time, usitake mafanikio ya haraka haraka)

bye bye bye
Kuna kurongwa na kujiroga yote yanawezekana ila muhimu ni mbinu ya kujua kwamba umerogwa au umejiroga
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,975
2,000
Unatafuta namba za simu za wataalamu watatu unawaelezea shida yako kisha wakuelezee chanzo cha tatizo.
Kila mmoja akishatoa majibu unalinganisha kama yanafanana.
Mwanzoni ukianza kuongea nao wakikwambia njoo tuongelee ofisini usikubali watakupiga pesa waambie umesafiri kisha mchat tu.
Gharama zao baadhi ni bure wengine watakwambia uchangie elfu 5 au elfu 10 tu.
Good idea
 
Chupayamaji

JF-Expert Member
Sep 19, 2017
3,576
2,000
Unaloweka kwenye ndoo yenye maji,unaufikicha kama unafua nguo maji yakibadilika rangi na kuwa kijani unaenda kuyaoga.
Pia kuna nyasi fulani nyembamba jina silijui huwa zinasambaa porini kama senyenge/wavu pia hutumika sawa na hii kivumbasi.
Ukishindwa hivi vyote tumia chumvi ya mawe changanya kwenye maji ikiyeyuka kaoge rudia kwa siku 7 asubuhi na jioni.
Si hata maliwatoni fresh kukogea
 
Eliclassic

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
3,479
2,000
ushauri wa kitaalamu hii hapaaa

1. usimwambie mtu yeyote jambo lako, hadi ulifanye, hataa demu wako piaa usimwambie keep your secret (Mungu anakupa wazo bila ya mtoto yoyote kujuaa, wewe unaendaa kuwaambiaa hao watu, basi Kwa hali hilo jambo nguvu yake itaishaa, next utaanza kusemaa unaligwaa, hapana unajilogaa

2. time, time, time ( things take time, usitake mafanikio ya haraka haraka)

bye bye bye
Kufanya jambo bila kumwambia mtu sometimes ni ngumu. Mfano nataka kununua gari ya biashara,,,lazma tu ntawafata wazoefu na kuwaambia ili wanishauri gar nzur ya kununua,inayodumu,ambayo spea znapatkana kirahsi n.k. Ni ngumu sana kutekeleza kila jambo kmya kmya.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
6,402
2,000
Jah bless you
Mfano wa kunuia;
Nanuia kupitia dawa hii nyota yangu ing'ae iwe kama nilivyozaliwa,nuksi na mikosi iondoke mbali,milango ya riziki ifunguke,Kama kuna uchawi,mapepo,mizimu wabaya,mashetani,wanga,binadamu wenye vijicho,husda wote washindwe.
Mwili wangu wauogope wanione kama moto.
Na yeyote atakayewaza kunidhuru ama kunifanyia ubaya wowote basi ubaya huo umrudie mwenyewe.
 
luchelele mzunguko

Senior Member
Feb 12, 2021
189
250
Pamoja na hayo lakini maisha siyo kurelax, maisha ni vita kila siku, unapopitia huko unajifunza kuwa mgumu siku za mbeleni kwa sababu hakika hakuna atakayekuja kukuambia fanya hivi ama vile, Wewe mwenyewe ndio dereva wa maisha yako, hivyo usimpe mtu mwingine akuendeshee maisha yako. Unayo nafasi ya kuchagua, Muweke Mungu kila hatua unayopiga, hata kama umepoteza hio pia ni hatua maana wakati mwingine hutarudia kosa kama ulilowahi kufanya siku za nyuma.
Jiamini hakuna mamlaka yeyote ya kipepo yenye itakayofakiwa kuvuruga maisha yako ikiwa unamuamini Mungu wa Mbinguni.
asante mkuu. well said

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,975
2,000
Mfano wa kunuia;
Nanuia kupitia dawa hii nyota yangu ing'ae iwe kama nilivyozaliwa,nuksi na mikosi iondoke mbali,milango ya riziki ifunguke,Kama kuna uchawi,mapepo,mizimu wabaya,mashetani,wanga,binadamu wenye vijicho,husda wote washindwe.
Mwili wangu wauogope wanione kama moto.
Na yeyote atakayewaza kunidhuru ama kunifanyia ubaya wowote basi ubaya huo umrudie mwenyewe.
Wazee wa miujiza uchafu unaokutoka wewe usiombe uende kwa mtu mwingine
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,835
2,000
Nilikuwa na tatizo kama lako sasa nimeshakuelewa kinachokusumbua.
Kabla sijaanza kukupa somo nahitaji kujua wewe ni kabila gani?
Hapo kuna matatizo ya aina mbili yanayohusiana na hiyo shida yako.
1.Mizimu ya kwenu
2.Mambo ya majini/masheitwan
Ukinipa background yako ndio nitaconfirm kinachokusumbua

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Mizimu, mashetani ni imani, hakuna uhalisia. Leo unadai kumwona mzimu au shetani, kesho unadai mzimu au shetani kakupanda kichwani, unajitambua?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,375
2,000
Hapo kwenye ndoto....sijui maana yake nini. Nami naota sanaaa mara kwa mara nipo shule yani katika siku 7 basi 5 naota nipo shule. Tusubiri wataalamu

Pole kwa yanayokusibu
Halafu mnaingia kwa paper wenzako wamejiandaa vyakutosha wewe hujajiandaa unashangaa maswali huyaelewi, teh teh teh kisha unafaulu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom